GE2025 Rais Samia Suluhu: CCM kugharamia kwa asilimia 100 matibabu ya watu wasiokuwa na uwezo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
308
Reaction score
425
Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na kadhalika, yatakuwa bure kabisa na serikali itachukua gharama hizo.

Huu ni upendo mkubwa wa dhati kwa serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wake.

Mnataka nini tena?
 
matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na kadhalika, yatakuwa bure kabisa na serikali itachukua gharama hizo.
Siyo kwamba udhibiti utaimarishwa ili kuzuia visababishi vya magonjwa haya? Prevention is better than Cure...kama msemo wa zamani lakini huu ni valid hadi sasa.
 
Watatumia utaratibu gani kuainisha hao watu wasio na uwezo?!
 
Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na kadhalika, yatakuwa bure kabisa na serikali itachukua gharama hizo.

Huu ni upendo mkubwa wa dhati kwa serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wake.

Mnataka nini tena?
What we need,, actually is the National health insurance for all Tanzanian.

This is possible and very possible because of the multiple resources we have.
 
Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na kadhalika, yatakuwa bure kabisa na serikali itachukua gharama hizo.

Huu ni upendo mkubwa wa dhati kwa serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wake.

Mnataka nini tena?
Ni kweli matibabu ni muhimu, lakini nguvu kubwa zaidi inapaswa kuelekezwa kwenye kuzuia maradhi kabla hayajatokea. Kinga ni nafuu, rahisi na haina madhara makubwa kama matibabu. Kupitia lishe bora, mazoezi ya mara kwa mara, chanjo, na kuzingatia usafi, tunaweza kupunguza uwezekano wa kuugua na hivyo kuepuka gharama na changamoto za matibabu. Kuzuia ni bora zaidi kuliko kutibu;

Rais anaweza kuchukua hatua zifuatazo ili kupunguza maradhi yasiyoambukiza (kama kisukari, shinikizo la damu, saratani na mengineyo) kwa kujikita zaidi kwenye kinga kuliko tiba:

1. Sera za Afya ya Umma – Kuweka sera zinazohamasisha lishe bora, kudhibiti ulaji wa sukari, chumvi na mafuta yenye madhara kupitia ushuru au udhibiti wa matangazo ya vyakula visivyo na afya.

2. Kukuza Mazingira Rafiki kwa Afya – Kujenga bustani, viwanja vya michezo, njia za kutembea na kuendesha baiskeli ili kuhamasisha wananchi kufanya mazoezi ya mara kwa mara.

3. Elimu ya Afya kwa Jamii – Kupitia vyombo vya habari, shule, na taasisi za dini, serikali inaweza kuhamasisha maisha yenye afya, ikisisitiza umuhimu wa mazoezi, ulaji bora na kuepuka uvutaji sigara au unywaji pombe kupita kiasi.

4. Uthibiti wa Bidhaa Hatari – Kudhibiti uvutaji wa tumbaku na matumizi ya pombe kupitia kodi kubwa, onyo kwenye vifungashio na marufuku ya matangazo.

5. Huduma za Uchunguzi wa Mapema – Badala ya kusubiri wagonjwa wafike hospitalini, serikali inaweza kuweka programu za uchunguzi wa mapema (screening) katika vituo vya afya na jamii ili kugundua maradhi kabla hayajakomaa.

6. Kuunganisha Sekta Mbalimbali – Wizara ya Afya kushirikiana na elimu, michezo, kilimo na fedha ili kuhakikisha sera zote zinaweka mkazo kwenye kinga.

Kwa mtazamo huu, Rais ataonyesha kuwa serikali yake inathamini zaidi kuwekeza kwenye kuzuia maradhi yasiyoambukiza kuliko kusubiri gharama kubwa za matibabu.
 
Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na kadhalika, yatakuwa bure kabisa na serikali itachukua gharama hizo.

Huu ni upendo mkubwa wa dhati kwa serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wake.

Mnataka nini tena?
Tunamwombea kila la kheri Rais wetu, Samia namwelewa akisema jambo hana mbambamba ni mtekelezaji mzuri
 
Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na kadhalika, yatakuwa bure kabisa na serikali itachukua gharama hizo.

Huu ni upendo mkubwa wa dhati kwa serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wake.

Mnataka nini tena?
Utadhani ccm ni mara yao ya kwanza kutaka kuingia ikulu
 
Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na kadhalika, yatakuwa bure kabisa na serikali itachukua gharama hizo.

Huu ni upendo mkubwa wa dhati kwa serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wake.

Mnataka nini tena?
Ccm wenyewe wanachangiwa tone tone ya kampeni watamtibu nani?
 
Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na kadhalika, yatakuwa bure kabisa na serikali itachukua gharama hizo.

Huu ni upendo mkubwa wa dhati kwa serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi wake.

Mnataka nini tena?
Kuna watu wengi sana wenye uwezo wanaishi kwa 'stahiri' za wasio na uwezo.
 
Waruhusu Chadema na Lisu au Heche agombee halafu uchaguzi uwe huru kwanza.
Aisee alikuwa sahihi kabisa kuiogopa chadema na hususani lissu, mama hana ushawishi kabisa jukwaani...unaweza kusinzia mkutanoni wakati anahutubia!
 
Back
Top Bottom