GE2025 Rais Samia Suluhu: CCM kugharamia kwa asilimia 100 matibabu ya watu wasiokuwa na uwezo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mnataka mkatibiane wenyewe Bure Bure, huo ni uongooo Toeni BIMA YA AFYA KWA TAIFA ZIMA ndo tutaenda sawa ika hyo point yenu imekaa ki wizi wizi

Mjichomeke mtibiane wenyewe kwa wenyewe maana mtu asie na uwezo mnamjuaje? Nyie msituone malofaaa
 
Siyo kwamba udhibiti utaimarishwa ili kuzuia visababishi vya magonjwa haya? Prevention is better than Cure...kama msemo wa zamani lakini huu ni valid hadi sasa.
Prevention ni priority na ipo kwenye sera ya afya na inatekelezwa

Kama ilivyo kwenye elimu na kilimo
 
Huo ni uongo, mbona wameugua wengi wakati akiwa rais, wamelipiwa? Msitudanganye
 
Hili litakuwa jambo jema sana. Hata sasa bado unafanya vizuri kusaidia watu matibabu .
 
another big lie, una define vipi mtu asiyekuwa na uwezo tanzagiza? hapa unaongela >85% of the population kwa maana utaondoa tu wenye ajira rasmi hao ndiyo wanaweza kuqualify kama wana uwezo i.e waliojiriwa serikalini na mashirika ya umma, waliobakia wote how do you prove that kama wana uwezo au hawana ? ...
 
kazi nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…