Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Mkuu wengi wao hawa ni bavicha! Wanatamani wateule wote wa Magu watolewe ila sasa tamaa yao haitimii
 
Rais wetu, Mama Samia, safiii safiiii safiiiiii sanaaaaa, yaani furaha imenijaa hadi Yesu namuona kafufuka kweli..!! 🔰💚🗽🙏🙏💛💛💛💛💚💚💚🔰🔰🗽🗽👏👏👏
 
Kama Doto bado yupo, basi huyu Mama hayuko serious.
Kwani nyie ndio mnahakika zaid kwamba dotto ni mkosaji kuliko inavyo jua serikali?

Kwani mnadhani mama haoni au hasikii? Kama ilivyo zushwa kwamba Dr . Mpango kafariki lakini cha ajabu ndiye makamu wa Rais wa sasa basi yawezekana pia hata hizo tuhuma zikatungwa pia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…