IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Mkuu wengi wao hawa ni bavicha! Wanatamani wateule wote wa Magu watolewe ila sasa tamaa yao haitimiinilichojifunza katika hizi teuzi hizi ni kuwa wabongo wengi tuna chuki na husda dhidi ya wenzetu!
kuwawazia na kuwaombea wengine wakwane ni kama shabiki wa yanga kumuua simba kwenye mikeka yange akitegemea atakula hela,wakuu kila siku mikeka itachanika!
na nishajiandaa na yajayo
wakuu tujiandae kisaikolojia