Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Kilio kupokezana ss zamu ya timu jiwe kulia Sisi tusio na viatu hatuchezi mechi.
 
Huyu kijana hapana.
Uzoefu wake mkubwa ni UVCCM!
Hili ni furushi la samadi ya mbolea mbichi.
Zama hizi mpya, bado mama Samia anakwenda kuokoteza makada wa CCM ambao wengi wao ni mitindio wa ubongo!
 
Subiri uchaguzi ugombee urais ukipata uwe serious. Kwa sasa mwacheni rais afanye yake.
 
MAMA SAMIA AMETUMIA VIGEZO GANI KUMRUDISHA KIDATA TRA WAKATI ALIKUWA NDO FAILURE PALE. JE HUYU THOBIAS RICHARD MWENYE UZOEFU WA SALES NDO UMEMPA TPA-SERIOUS? NADANHI SIKU YAKUAPISHA TUNATAKA MAELEZO.
ASANTE
Inaitwa recycling
Hata akina Lugola, Muhongo na yule 'Charles Njonjo' wa bongoland wajipange
 
MTU mpaka atumbuliwe mjue kuna sababu.
Au mnataka awatumbue na kuwafungulia kesii?
 
Teuz nyingi hapa zina walakini kwwnye hiyo orodha yake ya jana..huyu kijana ni ushahid wa aazi,hawwz hiyo kazi...
 
CCM ni ile ile ! Yani huyu Bi Mkubwa sikua na matarajio naye sana !
 
Huyu kijana hapana.
Uzoefu wake mkubwa ni UVCCM!
Hili ni furushi la samadi ya mbolea mbichi.
Zama hizi mpya, bado mama Samia anakwenda kuokoteza makada wa CCM ambao wengi wao ni mitindio wa ubongo!
Majuzi tu watu walikuwa wanapinga Sana kuchukua maprofesa wa UDSM, labda mama kaona ngoja awachanganyie na "mali mpya"
 
MTU mpaka atumbuliwe mjue kuna sababu.
Au mnataka awatumbue na kuwafungulia kesii?

Kutumbuliwa kwa Dr. James Mataragio hakuhojiwi sana. Bali mrithi wa mkurugenzi mtendaji Mpya kumezua mashaka mengi. Jakaya Kikwete alimtoa Dr. James Mataragio toka Marekani aje kutumia uzoefu wake kama mtendaji mkuu TPDC.

Hivyo Jakaya Kikwete aliweka viwango vya juu nani anafaa kuwa mkurugenzi shirika nyeti kama TPDC ndiyo maana watu wana mashaka na huyu mteuliwa mpya.

Kuhoji nako husaidia wenye mamlaka za teuzi kuunda mfumo bora utakao wasaidia kupata wateuliwa wanaokidhi matarajio na changamoto za kuongoza shirika dizaini ya TPDC n.k
 
Wengi wameanza kubweka baada ya JPM kuondoka, bado JPM atabaki mwamba hata mufanyeje kama ilivyokuwa kwa Nyerere basi ndivyo kwa JPM hakuna wa kumlinganisha naye itachukua miaka mingi sana labda kizazi kingine.
Kwa kuua watu sawa lkn sio mengi ne

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…