Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Kilio kupokezana ss zamu ya timu jiwe kulia Sisi tusio na viatu hatuchezi mechi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kosa lake nini au chuki zako binafsi?.Kama Doto bado yupo, basi huyu Mama hayuko serious.
Ndio ccm wanawalishaga matango mwitu...kila kitu unataka uambiwe tafute mwenyewe taarifa hujui atakaekwambia ana maslahi gani na hilo jamboNimeuliza mara kibao lakini sipewi jibu!
Alikuwa wizara ya fedha kapelekwa VB mkuuDoto James katolewa BOT, au huyu ni mwingine?
Inaitwa recyclingMAMA SAMIA AMETUMIA VIGEZO GANI KUMRUDISHA KIDATA TRA WAKATI ALIKUWA NDO FAILURE PALE. JE HUYU THOBIAS RICHARD MWENYE UZOEFU WA SALES NDO UMEMPA TPA-SERIOUS? NADANHI SIKU YAKUAPISHA TUNATAKA MAELEZO.
ASANTE
Dkt. MATARAGIO : AWEKA WAZI CHANGAMOTO ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA TOTAL
9 Sept 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini TPDC Dokta James Mataragio amesema Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Chongoleani Mkoani Tanga utachelewa kutokana na uwepo wa mazungumzo ya kuuziana hisa miongoni mwa Washirika wawili kati ya watatu waliopo lakini mradi wenyewe haujafa na hata Kampuni ya Total haijajitoa.
Source : Nurdin Selemani
22 Feb 2021
PROFESA KABUDI NDANI YA PARIS NA UONGOZI WA TOTAL
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akiwa Paris ambapo alikutana na uongozi wa kampuni ya Total juzi kuzungumzia ujenzi wa bomba la mafuta ambao unatarajiwa kuanza Machi 2021. Aelezea tukio kubwa baada ya ziara yake kuashiria kuanza ujenzi wa bomba katikati ya mwezi Machi 2021
Source : mwananchi digital
Watu wanazunguka tu walewale wanabadilishana tu vyeo na wizara.
Subiri uchunguzi ukamilike.Kwani kosa lake nini au chuki zako binafsi?.
Halafu huwa nina wasiwasi sana na quality ya ufundishaji wa UDOM kwa kusoma prospectus yake!
Nilimwambia Mshana Jr hakunielewa. Usifurahi mwanzoni mwl wa Kusoma Korogwe TTCMama hayuko serious kwakweli
Majuzi tu watu walikuwa wanapinga Sana kuchukua maprofesa wa UDSM, labda mama kaona ngoja awachanganyie na "mali mpya"Huyu kijana hapana.
Uzoefu wake mkubwa ni UVCCM!
Hili ni furushi la samadi ya mbolea mbichi.
Zama hizi mpya, bado mama Samia anakwenda kuokoteza makada wa CCM ambao wengi wao ni mitindio wa ubongo!
Kwa hiyo alikuwa ni Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu msemaji Mkuu wa Serikali?Si ndio nafasi yake tokea zamani au huwa husomi?
MTU mpaka atumbuliwe mjue kuna sababu.
Au mnataka awatumbue na kuwafungulia kesii?
Huyu alikuwa MTU wa jiwe naona kaliwa kichwaSimuoni Arch Mwakalinga kwenye orodha mpya kulikoni? naona empire inasafishwa.
Kwa kuua watu sawa lkn sio mengi neWengi wameanza kubweka baada ya JPM kuondoka, bado JPM atabaki mwamba hata mufanyeje kama ilivyokuwa kwa Nyerere basi ndivyo kwa JPM hakuna wa kumlinganisha naye itachukua miaka mingi sana labda kizazi kingine.