Mkuu teuzi zingine ni za mkakati zaidi na usihadaike na CV,watu Wana ma file mawili mawili utumishi,kipilimba mwanzo CV yake haikueleweka kabisa,alikua tu mkurugenzi wa Tehama BoTKila zama na vituko vyake
Kama utakuwa huru na wa haki.Subiri uchunguzi ukamilike.
Kama Mataragio hakutumbuliwa na Magufuli muda wote huo, basi ujue alikuwa ni mtu quality! Magufuli alikuwa ni mwepesi kufanya maamuzi, ila akishatulia na kufanya analysis akiona mtu aliyemtumbua alikuwa hana kosa basi alikuwa akimteua tena sehemu nyingine. Mataragio hakutumbuliwa hata kwa kesi moja yoyote ya harakaharaka!!Kutumbuliwa kwa Dr. James Mataragio hakuhojiwi sana. Bali mrithi wa mkurugenzi mtendaji Mpya kumezua mashaka mengi. Jakaya Kikwete alimtoa Dr. James Mataragio toka Marekani aje kutumia uzoefu wake kama mtendaji mkuu TPDC.
Hivyo Jakaya Kikwete aliweka viwango vya juu nani anafaa kuwa mkurugenzi shirika nyeti kama TPDC ndiyo maana watu wana mashaka na huyu mteuliwa mpya.
Kubwa la maadui amefyekelewa mbali, mbona alikuwa njema tena au kuna mtu kamsagia kidondaNaona mabadiliko madawa pale , james kaji kaondolewa.
Mkuu teuzi zingine ni za mkakati zaidi na usihadaike na CV,watu Wana ma file mawili mawili utumishi,kipilimba mwanzo CV yake haikueleweka kabisa,alikua tu mkurugenzi wa Tehama BoT
Hapo TPDC kila alieletwa kafeli,mpaka Kuna mkurugenzi aliwekwa lupango kwa amri ya Zitto kabwe
Mkurugenzi wa TPDC ni nafasi kubwa na nyeti sana. Mteule hakustahili hata unaibu ukurugenzi. Siasa zisitutumbukize shimoni.Yajayo mbona yanasikitisha...!!
Funguka ....mama asipokuwa makini atachomekewa sana nyokaKuna boko nimeliona nafasi ya naibu km kwenye wizara nyeti sana, niseme tu nimepoteza imani na mama
Huyo matarajio so aliwekwa ndani kwa amri ya Zitto akiwa mwenyekiti wa PAC kwa ajili ya wizi,au nimemchanganya?Kutumbuliwa kwa Dr. James Mataragio hakuhojiwi sana. Bali mrithi wa mkurugenzi mtendaji Mpya kumezua mashaka mengi. Jakaya Kikwete alimtoa Dr. James Mataragio toka Marekani aje kutumia uzoefu wake kama mtendaji mkuu TPDC.
Hivyo Jakaya Kikwete aliweka viwango vya juu nani anafaa kuwa mkurugenzi shirika nyeti kama TPDC ndiyo maana watu wana mashaka na huyu mteuliwa mpya.
Kuhoji nako husaidia wenye mamlaka za teuzi kuunda mfumo bora utakao wasaidia kupata wateuliwa wanaokidhi matarajio na changamoto za kuongoza shirika dizaini ya TPDC n.k
Unataka kusema mama nae hapendi kufanyiwa Ibada? (KUABUDIWA) maana hicho Kituo kipo kwaajili hiyo tuJumanne tunakula kichwa cha mkurugenzi wa TBC
Mwendazake alisema hiki chuo cha Vilaza?
Hao ni wake zake sio vijana wake!hao ni vijana wa Kigogo akichukia nao wanachukia ,akifurahi nao wanafurahi, kifupi hawana majibu labda wanamsubiri Kigogo arudi kusema uongo wake
Style ya awamu hii ya 6. Ninampa mwaka hatakuwa amepoteza umaarufu!!
Nilikuwa ninaongelea jamaa wa twitter ndio atakuwa amepoteza umaarufu!!Mtasubiri sana tulijua tu, CCM ya leo siyo mliyozoea. Mmemsema sana MEKO lakini reforms zote ni zake akishirikiana kwa karibu na mama yetu a.ka iron lady.Tanzania mpya wajameni mtasubiri sana
Chuki Tu za kikabila , jamaa mtu poa sanaKwani tatizo la Doto ni lipi?
Nikikumbuka Mwinyi alivyoiuza Loliondo nakuwa na mashaka sana kama hawa Wazanzibari wana uchungu na mali za Tanganyika.Hotuba zake za mwanzo tu niliona mama atakuwa shida, alipomtoa Jaffo TAMISEMI ndio kabisa.
Hivi anafahamu nishati ni priority number 1 ya national security duniani. Huu utani wake mmbaya sana.