Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Bandiko langu limejificha kidogo
Nilimaanisha kuwa hawa watu wa system cv zao hazieleweki,wakati mwingine ni very shallow
Naamini aliemuweka pale ana sababu nzito sana ambazo bahati mbaya hatuna nguvu ya kuzihoji
Lazima tuhoji, nchi yetu sote na sisi ndiyo wenye nchi.
 
Kwani ulitakaje mkuu,naona unalalamika hupendekezi majawabu
 
Ina maana hajawaona madocta na maprofesa wa geology , petroleum pale udsm
 
Hotuba zake za mwanzo tu niliona mama atakuwa shida, alipomtoa Jaffo TAMISEMI ndio kabisa.

Hivi anafahamu nishati ni priority number 1 ya national security duniani. Huu utani wake mmbaya sana.
Analeta utani kwenye mambo serious
 
Wakuu wa mikoa,wilaya na wakurugenzi plus maDED na maDAS wajiandae
 
Huyu angepewa ukiherere ndani ya CCM ili wakarogane vizuri
 
Hata yeye mwenyewe itakuwa haamini kama ameteuliwa DG TPDC. Inawezekana ni majina yamefanana tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hotuba zake za mwanzo tu niliona mama atakuwa shida, alipomtoa Jaffo TAMISEMI ndio kabisa.

Hivi anafahamu nishati ni priority number 1 ya national security duniani. Huu utani wake mmbaya sana.

Kutolewa kwa Jafo ni sawa lakini kuingizwa kwa Umi ndo kumeacha maswali.
Kwamba ndiye ameonekana jembe kuweza kuimudu ile Wizara ukilinganisha na Jafo? [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Unataka kusema mama nae hapendi kufanyiwa Ibada? (KUABUDIWA) maana hicho Kituo kipo kwaajili hiyo tu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Tbc wavivu sana, kipindi kimoja kinaweza kurudiwa wiki mzima, vipindi havina mvuto afadhali kuwe na hotuba ya Mhe ndo utatamani kuangalia TBC
 
Kutolewa kwa Jafo ni sawa lakini kuingizwa kwa Umi ndo kumeacha maswali.
Kwamba ndiye ameonekana jembe kuweza kuimudu ile Wizara ukilinganisha na Jafo? [emoji4][emoji4][emoji4]
Mama kwa kweli hata mie ananishangaza baadhi ya maeneo. Kama jafo inasemekana kaishindwa tamisemi unamuweka umi? Tamisemi sio corona
 
Dr Francis Michael kasavubu ndani.....waha tutembee vifua mbele.
 
Mama kwa kweli hata mie ananishangaza baadhi ya maeneo. Kama jafo inasemekana kaishindwa tamisemi unamuweka umi? Tamisemi sio corona

Corona yenyewe hakujafanyika la ziada. Kila kitu kilikuwa kinaamriwa na bwana mkubwa!

Yeye alikuwa akipokea maagizo tu.

Sasa sana tutakumbuka kupimwa kwa mapapai kama sampuli!

Tamisemi siyo Wizara lelemama ina involves mambo mengi kwa wakati mmoja.

Anyway let us keep on observing!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…