Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Simjui jamaa ila sitaki kumhukumu mnamuona hana cv masna siku hizi wasomi ni wengi ila ujue kipindi tunapata uhuru tulikuwa na mkuu waajeshi darasa la nne .viongozi wengi hawakuwa na cv ila nchi ilienda
 
Kama Kweli Rais kaingizwa mkenge Kwa kuteua mtu aside sahihi kuwa Mkurugenzi
TPDC na kumtoa Anaefaa basi
Nashauri Rais atazame timu yake inayomletea majina... ikiwezekana aifukuze baadhi au awabadilishe wote
Hiyo ndio Tanzania na sisi ndio watanzania Magufuri alikuwa sahihi sana kwani mtanzania Jana dhamana
 
Lakini uzoefu unapatikana wapi ndugu zangu? si ni lazima mtu upate kazi ndipo uzoefu uje sasa kama hawamtaki mwenye uzoefu wanafikiri uzoefu unazaliwa nao?
Kumbe hata wewe umeshangaa?...Watz wanapenda fitina sana.
 
Kila anaewekwa siye, mfano huyo Ummy mumeanza na masuali hata bado kuanza kazi mukaona hiyo performance yake itakuaje.

Basi tusubiri mteule kutoka mbinguni labda.
Sio wote ila kuna wengine diplomasia nyingi na michakato mingi inayokwamisha ufanyaji maamuzi magumu. Ok, tumpe muda ummy, ila kama atakua na ile staili yake ya uongozi bila kubadilika tamisemi itamshindwa saa mbili asubuhi...ile wizara inataka mchakchaka na sio kuremba...naamini atakuja na staili tofauti!
 
Lakini uzoefu unapatikana wapi ndugu zangu? si ni lazima mtu upate kazi ndipo uzoefu uje sasa kama hawamtaki mwenye uzoefu wanafikiri uzoefu unazaliwa nao?
Unaanza kwa kupewa majukumu madogo then unaongezewa taratibu mpaka kufika juu. Sio unakuja hujui hili wala lile halafu unapewa jukumu kuu.
 
Tumeweka Maprofessa wakatuangusha tumechoka, tunataka technitian, wenye uzoefu, siyo bookish
 
Hivi ni kwanini huyu jamaa Mwesiga anaonekana kupata resistance sana kwenye nafasi alioteuliwa tatizo ni nini?
Ukiwa kijana uliyeaminiwa na JPM automatically wenye sauti mitandaoni yaani bavicha wanakufanyia HATE CAMPAIGN dhidi yako. Mfano kwa Msigwa, jamaa peace sana hana makuu ila wamemvalia njuga...
 
Anaweza kufanya vizuri huyo kuliko huyo mwenye cv nzuri
Hapana mkuuu
Ukiwa mgeni sana wa sehemu husika, hadi uje kukopu na mazingira utakua ushapigwa vyakutosha ukizingatia ni taasisi nyeti na inahitaji strong leadership, knowledge kubwa na uwe well informed.
 
Tatizo ni mfumo sio watu, hao watu huja na kuondoka lakini mfumo mbovu tulionao ndio unaturudisha nyuma kila siku.

Hizi kelele zitakuwa recycled kila wakati, ndio maana hili taifa kuendelea itatuchukua karne nyingi sana coz tunatawaliwa na kakikundi kadogo sana cha watu.

Ile rasimu ya Warioba kila siku nazidi kuuona umuhimu wake, wazee kama wale ndio tunu ya hili taifa lakini sasa hivi wako pembeni hakuna mwenye habari nao, matokeo yake as a nation tunazidi kudidimia tu.
 
Tumeweka Maprofessa wakatuangusha tumechoka, tunataka technitian, wenye uzoefu, siyo bookish
Huyo jamaa wa TPDC ni technician au ana uzoefu??
Au kwa kuwa maprof wameshindwa basi ni zamu ya wasio na kitu?
 
Hivi hao wenye uzoefu na CV kubwa tangu wameanza kuteuliwa wameinufaisha nchi kwa lipi
 
WEWE MUONGO KWELI, YAANI ULICHOAMBIWA NA KIGOGO BASI NDO USHAHIDI HATA KAMA SERIKALI HAIJAONA UNACHOSEMA AU KIGOGO ANACHOSEMA

QUOTE="Chief Kabikula, post: 38606548, member: 531381"]
Hujui Kama Ni mwizi alikuwa akitumika na mjomba wake kutoa pesa bila idhini ya bunge , Hayati kafa wakaiba bilioni 96 + 180 , task force ya TRA ikikuwa ikipora fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara na zile za faini za DPP , Doto anazipeleka China kuficha kwa balozi Mbelwa Kariuki , bado mapesa watu waliyoporwa Bureau de change , Kama wewe ndio Doto juwa mambo yako yote yanajulikana .
[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…