Midevu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 274
- 437
Linganisha CV yake na ya anayemreplace.Hivi ni kwanini huyu jamaa Mwesiga anaonekana kupata resistance sana kwenye nafasi alioteuliwa tatizo ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linganisha CV yake na ya anayemreplace.Hivi ni kwanini huyu jamaa Mwesiga anaonekana kupata resistance sana kwenye nafasi alioteuliwa tatizo ni nini?
Hiyo ndio Tanzania na sisi ndio watanzania Magufuri alikuwa sahihi sana kwani mtanzania Jana dhamanaKama Kweli Rais kaingizwa mkenge Kwa kuteua mtu aside sahihi kuwa Mkurugenzi
TPDC na kumtoa Anaefaa basi
Nashauri Rais atazame timu yake inayomletea majina... ikiwezekana aifukuze baadhi au awabadilishe wote
Anaweza kufanya vizuri huyo kuliko huyo mwenye cv nzuriLinganisha CV yake na ya anayemreplace.
Kumbe hata wewe umeshangaa?...Watz wanapenda fitina sana.Lakini uzoefu unapatikana wapi ndugu zangu? si ni lazima mtu upate kazi ndipo uzoefu uje sasa kama hawamtaki mwenye uzoefu wanafikiri uzoefu unazaliwa nao?
Sio wote ila kuna wengine diplomasia nyingi na michakato mingi inayokwamisha ufanyaji maamuzi magumu. Ok, tumpe muda ummy, ila kama atakua na ile staili yake ya uongozi bila kubadilika tamisemi itamshindwa saa mbili asubuhi...ile wizara inataka mchakchaka na sio kuremba...naamini atakuja na staili tofauti!Kila anaewekwa siye, mfano huyo Ummy mumeanza na masuali hata bado kuanza kazi mukaona hiyo performance yake itakuaje.
Basi tusubiri mteule kutoka mbinguni labda.
Unaanza kwa kupewa majukumu madogo then unaongezewa taratibu mpaka kufika juu. Sio unakuja hujui hili wala lile halafu unapewa jukumu kuu.Lakini uzoefu unapatikana wapi ndugu zangu? si ni lazima mtu upate kazi ndipo uzoefu uje sasa kama hawamtaki mwenye uzoefu wanafikiri uzoefu unazaliwa nao?
Tupe link tuoneAna PhD ya mambo ya Natural resources yule bwana mdogo
Hiki kigezo cha uzoefu kinatakiwa kiondolewe kabisa kinawanyima fursa watu wenye uwezo mkubwa sanaKumbe hata wewe umeshangaa?...Watz wanapenda fitina sana.
Ukiwa kijana uliyeaminiwa na JPM automatically wenye sauti mitandaoni yaani bavicha wanakufanyia HATE CAMPAIGN dhidi yako. Mfano kwa Msigwa, jamaa peace sana hana makuu ila wamemvalia njuga...Hivi ni kwanini huyu jamaa Mwesiga anaonekana kupata resistance sana kwenye nafasi alioteuliwa tatizo ni nini?
Hapana mkuuuAnaweza kufanya vizuri huyo kuliko huyo mwenye cv nzuri
Huyo jamaa wa TPDC ni technician au ana uzoefu??Tumeweka Maprofessa wakatuangusha tumechoka, tunataka technitian, wenye uzoefu, siyo bookish
Umepata kusoma CV yake?Hivi ni kwanini huyu jamaa Mwesiga anaonekana kupata resistance sana kwenye nafasi alioteuliwa tatizo ni nini?