G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Unataka ahukumiwe Kwa kutumia ushahidi wa kigogo?Doto james amefanya ya maajabu huko alikkuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma. labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki. hapa umechemsha sana.
Kapelekwa viwanda na biashara, pole
Kweli na wananchi tunashabikia ki uhemko bila kujua faida yake au hasara.......kwasababu kuna watu wametimuliwa na wengine wamepataNajua ni mahitaji ya lazima ya sasa ila naona kama NCHI, tunatumia muda mwingi kuteua, kuapisha na kujadili nyazifa za wanasiasa na watendaji wa serikali. Haya mambo ukiyatafakari sana utagundua hayatuongezei tija kihivyo na yanatupotezea muda na kutuingiza gharama nyingi zisizo na maana sana.
Ila huo ni mtazamo wangu tu.
Ni kuwa Alphayo kidata na kipilimba walidukuliwa simu zao wakimsengenya Jiwe. Jiwe alimaindi sanaAlphayo kidata karejeshwa tra...dah! Jpm alimhenyesha sana jamaa
[emoji1787][emoji1787]Hii ngoma inaenda kwa mtiririko maalum.
Wanaofuata ni Wakuu wa Mikoa, tunamalizia Wilayani.
Dawa za kufunga kuharisha zitakuwa adimu sana kipindi hiki...
Uko sahihi, inatakiwa aende kiakili sanaMama anatumia akili.
Bado watu wa meko wana mguvu kubwa sana.
Lazima aende mdogo mdogoxis
Bora kaondoka maana alikifanya ni kibubu cha Mjomba.Dotto James Katibu Mkuu Biashara na Viwanda
Doto viwandaOhoooo.Mchembe na Doto James wamepona ?
Swadakta.Lakini akili za Nyumbu wa Ufipa si mnazijua wajameni?Mkuu,Rais hafanyi mambo kwa mihemko ya mtandaoni na chuki binafsi za watu.
Kama watu waliona Magufuli kamteua kwa sababu ya undugu wao. Sasa Mama Samia kumrudisha inaonyesha alipewa kwa sababu ya UWEZO wake na sio undugu la sivyo kama angekuwa hana sifa angewekwa benchi!!Tatizo lake ile M ni silent, mtoto wa dada!
Wadukuaji wa simu za watu hao! Ndungulile ametuangusha sanaNaona mkurugenzi TCRA (wazee wa kupandisha Data bando ) kaliwa kichwa nae !
Ndungulile is typing.... !
Hawampendi mpwaKwa nini watu wanashangaa Dotto kurudi kuwa katibu mkuu wa wizara?
Dotto Katibu Mkuu wizara ya Biashara na viwandaKama Dotto bado yupo, basi huyu Mama hayuko serious.