Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Doto james amefanya ya maajabu huko alikkuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma. labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki. hapa umechemsha sana.
Mna ushahidi na mnayosema?acheni ujuaji usio na maana ,mnalaumu laumu tu ulitaka hio nafasi apewe baba yako au?
Acheni husuda na wivu
 
Angalizo
Pale TPDC aliyewekwa ana ujuzi upi? isiwe mambo binafsi yamemtoa aliyepo maana banahitajika wanaoweza ku-negotiate mambo ya gesi kwa maslahi ya nchi! Dr Matarajio kafanya lipi baya?
Ashawahi kutuhumiwa ufisadi
 
Mchembe na Makubi kwaheri. Ila naona kama Dotto kaponea vile
Kuna jamaa anaitwa Nyamhanga alikuwa TAMISEMI akitokea TANROAD simuoni jamani hebu nitafutieni kwenye list siamini nikazianze bia usiku huu
huyu Dotto James Mgosha tumpeni muda, Mama anatumia busara bado
 
Back
Top Bottom