Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Nimefurahi sana,Mme wangu Makubi kawa katibu mkuu. Mpunga inaongezeka kwenye family.Haya ulale maana siku hizi hata kiswahili hujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi sana,Mme wangu Makubi kawa katibu mkuu. Mpunga inaongezeka kwenye family.Haya ulale maana siku hizi hata kiswahili hujui
Serikali haina Dini...Yaani kajaza wakatoliki wenzake tu.
Kijana pigeni kitabu, acheni kuvaa vaa tu misuli na kucheza bao vijiweni.
Analia tu hukoKigogo ameiona hii?
Mna ushahidi na mnayosema?acheni ujuaji usio na maana ,mnalaumu laumu tu ulitaka hio nafasi apewe baba yako au?Doto james amefanya ya maajabu huko alikkuwa hakupashwa kuwepo kwenye utumishi wa Umma. labda umemfichia aibu ya mtoto wa dada. Hii haikubaliki. hapa umechemsha sana.
Ashawahi kutuhumiwa ufisadiAngalizo
Pale TPDC aliyewekwa ana ujuzi upi? isiwe mambo binafsi yamemtoa aliyepo maana banahitajika wanaoweza ku-negotiate mambo ya gesi kwa maslahi ya nchi! Dr Matarajio kafanya lipi baya?
Mama Samia hapo TPDC kaharibu ,aliekuwepo si tu ana akili bali ni mzalendo namba moja wa hapa nchini ,kama sio yeye wachina walishakwapua vitalu vya gesi bure baada ya kupewa na Muhungo ,yeye alikomaa hadi kusimamishwa kaziKwann umeshangaa bro ?
We acha kuna watu sijui wakoje, mwingine kaanzisha uzi eti katoliki inatawala tz wakati yeye mkatoliki ana dhiki hadi matakoniKuna tatizo kwani? Em teseme amechagua waislamu watupu wewe kama wewe utafaidika nini???
Hataki tu kumsumbua MamaAnalia tu huko
NSSF mpwa wa Mkapa bye bye. TCRA Kilaba bye bye. Msigwa nae katolewa ikulu kaenda kuwa msemaji wa Serikali.
Ashawahi kutuhumiwa ufisadi
Huyo kwake kigogo ndio mumeKwani aligusia lipi?
Najua. Nimemjibu mpuuzi aliyeleta hiyo hoja.Serikali haina Dini...
Alafu ebu tujitahidi kusoma kwa visit hizi nafasi ni za utendaji sio hisani....
Kuna jamaa anaitwa Nyamhanga alikuwa TAMISEMI akitokea TANROAD simuoni jamani hebu nitafutieni kwenye list siamini nikazianze bia usiku huuMchembe na Makubi kwaheri. Ila naona kama Dotto kaponea vile
Vichwa ngumu wanaendelea kusambaratika....Bando imekula kichwa TCRA.
Kama hizi tuhuma ni uzushi itakuwa imetoka kweli na kinyume chake.Huyo imetoka hiyo..
ExactlyNajua. Nimemjibu mpuuzi aliyeleta hiyo hoja.
Kwa Rais Ikulu kwenyewe is better.Hapa Msigwa kapanda au kashuka..which is better