Maili tatu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 830
- 1,070
Aisee kumbe tuna safari ndefu kweli kweli,mi nilijua tupo katikati ya njia,kumbe ndo kwanza tunaanza kuvaa viatu vya kutembea katika safari yetu hii pendwa ya kuvuka upande wa pili wa njia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mara moja kujadili udini na ukandanda tutakula kichwa ohoooooo shauri yako.....!.Wakristo watupu! Samia ni takataka nyingine.
Naona atafaidika kule tende na harua za bure msikitini heh hehKuna tatizo kwani? Em teseme amechagua waislamu watupu wewe kama wewe utafaidika nini???
Mkuu Makupa heshima yako.Mama Samia hapo TPDC kaharibu ,aliekuwepo si tu ana akili bali ni mzalendo namba moja wa hapa nchini ,kama sio yeye wachina walishakwapua vitalu vya gesi bure baada ya kupewa na Muhungo ,yeye alikomaa hadi kusimamishwa kazi
Sarungi ni kirusi. Hawezi pata hiyo nafasi. Yaani hayuko ikulu ila anapata info za ikulu alafu akawekwe kabisa ikulu?Maria Sarungi na Paschal Mayala watauana huko kwa waganga mwezi huu😂😂😂
Tatizo unachuki sana na watendaji wa serikali ya Hayati Dr. JPM.NSSF mpwa wa Mkapa bye bye. TCRA Kilaba bye bye. Msigwa nae katolewa Ikulu kaenda kuwa msemaji wa Serikali.
Habari gani? Hizo mbili tatu za kubahatisha?Habari zake nyingi ni za ukweli na pia ni Whistle blower
Hata tra kaharibu.Mama Samia hapo TPDC kaharibu ,aliekuwepo si tu ana akili bali ni mzalendo namba moja wa hapa nchini ,kama sio yeye wachina walishakwapua vitalu vya gesi bure baada ya kupewa na Muhungo ,yeye alikomaa hadi kusimamishwa kazi
hili nimeliona sanaaMchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.
Kwani kuna mwenye uthibitisho kuwa kaiba kweli au ni maneno tu ya Kigogo basi watu wanajenga chuki na mtu!!Kwa wizi wa huyo jamaa alitakiwa asirudi kabisa...
Nadhani itakuwa ni Typo tu. Hapo huyo wa chini ni Naibu Katibu mkuu(nikiangalia kwa mpangilio huko juu)Kwanini Wizara ya Mifugo ina makatibu wakuu wawili na hakuna naibu?
😂😂😂"...zamani nilikuwa nadhani mtu akiwahi kuleta uzi jf analipwa...." JF member,
Kashuka kuwa msemaji wa serikali? Toka kuwa msemaji wa taasisi moja na kuwa msemaji wa nchi nzima Kashuka? Duuuh mei bii kuna pasipekitivu inaangaliwa, ila kapanda cheoKashuka vibaya.
HapanaNadhani itakuwa ni Typo tu. Hapo huyo wa chini ni Naibu Katibu mkuu(nikiangalia kwa mpangilio huko juu)...
Kuna mmoja anasema atakua anasoma tu magazeti ofisini sababu hamna cha kufanya, Serikali iko bize kila siku hukosi la kusema...Kashuka kuwa msemaji wa serikali? Toka kuwa msemaji wa taasisi moja na kuwa msemaji wa nchi nzima Kashuka? Duuuh mei bii kuna pasipekitivu inaangaliwa, ila kapanda cheo
Watu wamemkariri Kigogo sana. Wakati hapa hata hajajuwa kama kuna uteuzi leo. Nimeona anaotea mama anaenda Zenji kumbe maza anakamua uteuzi Dar.Kwani tatizo la Doto ni lipi?
hao ni vijana wa Kigogo akichukia nao wanachukia ,akifurahi nao wanafurahi, kifupi hawana majibu labda wanamsubiri Kigogo arudi kusema uongo wakeNimeuliza mara kibao lakini sipewi jibu!
Tutoe mapendekezo, mfumo imara uwe vipi?Tufute nn? Tuboreshe wapi? Wapi tupaache kama palivyo?Tutapiga mark time sana kwa katiba hii mfumo huu uliojichokea.
Waliochabaki nacho raia "fulani mtu sana", "fulani jembe", "mkunaji amepata upele" "fulani kaula" na blah blah nyingine nyingi zisizo na kichwa wala miguu kwa miaka yote.