Watu wa kaskazini unawafahamu?Ukiwa msukuma na uko juu tegemea watu wa kaskazini kukushabulia kwa tuhuma feki..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa kaskazini unawafahamu?Ukiwa msukuma na uko juu tegemea watu wa kaskazini kukushabulia kwa tuhuma feki..
Mimi mkiristo mbona sifaidi chochote kwa kujazwa wakristo? na wewe muislamu wakijazwa waislamu kama unavyotaka utafaidi nini?Mie nasubiri wa kusema rais mdini, kajaza wakristo!
Pale TPDF Mataragio kuondoka ni pengo kubwa sana,naona Kenya wanarudisha bomba la mafuta la Uganda kwaoKwann umeshangaa bro ?
Nimeandika possibility mbili mkuu unasema Hapana kwa IPI?? Nimetoa na mfano wa Wizara ya Ujenzi & Uchukuzi napo wako wawili hivyo hivyoHapana
Mmoja uvuvi na mwingine Mifugo hamna naibu pale.
Kweli kabisa. Yaani Kigogo anawajengea watu chuki kiasi kwamba kuna mtu hata si mtumishi,si mfanya biashara yaani anamchukia Dotto kanakwamba alimkamata akiiba hizo hela. Tuache haya mambo.Ukiwa msukuma na uko juu tegemea watu wa kaskazini kukushabulia kwa tuhuma feki..
Wengi wameanza kubweka baada ya JPM kuondoka, bado JPM atabaki mwamba hata mufanyeje kama ilivyokuwa kwa Nyerere basi ndivyo kwa JPM hakuna wa kumlinganisha naye itachukua miaka mingi sana labda kizazi kingine.JPM atabaki kuwa mwamba aliyejenga viongozi imara akiwemo rais SSH na VP
Usinipangie eti kwamba simkubali
Na Kama hilo linakuuma kajinyonge
Tutoe mapendekezo, mfumo imara uwe vipi?Tufute nn? Tuboreshe wapi? Wapi tupaache kama palivyo?
Taasisi moja sio!? Hivi unaelewa ukubwa wa hiyo Taasisi unayoizungumzia!?Kashuka kuwa msemaji wa serikali? Toka kuwa msemaji wa taasisi moja na kuwa msemaji wa nchi nzima Kashuka? Duuuh mei bii kuna pasipekitivu inaangaliwa, ila kapanda cheo
Hata kama siwafahamu ila umenielewa...Watu wa kaskazini unawafahamu?
Ataenda Mtumba ilipo Wizara ya Habari. Ofisi ya msemaji wa Serikali ipo pale. Pia wana ofisi nyingine kwenye jengo la PSSSF Dodoma. Ila Ikulu anakusanya virago vyake kwa sasa.Lakini majukumu ya bwana msigwa yanamhitaji kuwa pale Magogoni
Jina ikulu ndio linalokusumbua.Taasisi moja sio!? Hivi unaelewa ukubwa wa hiyo Taasisi unayoizungumzia!?...
Sio kweli, Awali alikuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais ikulu na sasa hivi anakuwa mkurugenzi wa idara ya habari maelezo ambayo ipo chini ya Wizara ya habari. Ametoka ikuluHivi watu ni kwamba kusoma hamjui au tatizo nini? Msigwa kabaki pale pale zaidi kaongezewa majukumu
Yawezekana kweli ni mtu mwema kwa nchi yetu sikatai. Ila asiifanye chuki yake kwa watu wengine iwe ndiyo chuki ya nchi nzima kwa watu anaowachukia yeye.Ninyi remnants wa Mataga mnapenda mambo yafichwefichwe ili Upigaji wenu wa kishamba usijulikane....
Ni ofisi namba moja kwenye utumishi wa umma.Jina ikulu ndio linalokusumbu.
Ni TPDC Mkuu......siyo TPDF.Pale TPDF Mataragio kuondoka ni pengo kubwa sana,naona Kenya wanarudisha bomba la mafuta la Uganda kwao
Watu wamekuwa hawamsomi vizuri.Watu wamemkariri Kigogo sana. Wakati hapa hata hajajuwa kama kuna uteuzi leo. Nimeona anaotea mama anaenda Zenji kumbe maza anakamua uteuzi Dar.
Reliable sources zimeanza kupungua. Usiri wa serikali unapaswa kurejeshwa.Watu wamekuwa hawamsomi vizuri.
Alisema Lawrence Mafuru na Nehemiah Mchechu watateuliwa...Ameangukia pua!!
Naona sasa hivi ana hasira na mama! Majina yote toka VP amekuwa amekosea!!