Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Sifa zikizidi kichwa kinavimba. Mama sasa naona sifa za hizi siku 16 zinaanza kumzidi. or else kama kachomekewa jina na usalama. ila Mwesiga hana uwezo wa kuongoza TPDC
 
She is simply incompetent at the top, mapambio yalikuwa mengi kwake kwasababu alikuwa anafukia mashimo yaliyoachwa na mtangulizi wake, ngoja amalize hiyo kazi muone atakavyoanza kuvuruga mambo, I doubt her thinking capacity when it comes to matters requiring her personal decision.
I agree with you, she is incompetent.

Huyu maama hana maajabu yoyote na tutegemee hali kua mbaya zaidi.

Kwenye huu uteuzi imeonyesha kabisa huyu mama hajielewi na wala haelewi anachokifanya.

Tumpe muda kidogo tu.
 
Mkuu teuzi zingine ni za mkakati zaidi na usihadaike na CV,watu Wana ma file mawili mawili utumishi,kipilimba mwanzo CV yake haikueleweka kabisa,alikua tu mkurugenzi wa Tehama BoT
Hapo TPDC kila alieletwa kafeli,mpaka Kuna mkurugenzi aliwekwa lupango kwa amri ya Zitto kabwe
Huyu wa sasa kafeli wapi?
 
Mamaaa mamaaa mamaaa mamaaa huyooo mamaaa mamaa huyoo mamaa mama huyoo mamaaa
 
Your hero not me shubbbbbbat zako

Sasa weweeee🙄🙄
Mbona una chuki na wivu wa kizembe hivyo? JPM ni hero wa 84% ya Watanzania wanampenda na wanaoomboleza kama wewe upo kwenye 16% hayakuhusu pita kushoto

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿♥️

Rest well our hero President John Pombe Magufuli 🕊
 
I agree with you, she is incompetent.

Huyu maama hana maajabu yoyote na tutegemee hali kua mbaya zaidi.

Kwenye huu uteuzi imeonyesha kabisa huyu mama hajielewi na wala haelewi anachokifanya.

Tumpe muda kidogo tu.
Mlikurupuka sana kumsifu huyo maza.....
tulieni muda utaongea....
 
Aisee Bora turudi misri tu,kumbe Bora li magufuli pamoja na udikteta wake lilikua linaamini ma profesa kidogo Sasa huyu mpemba anaokota takataka hio anaileta huku kweli kwenye uchumi wa nchi gesi, petrol duu,kwanza kupata kazi tu hapo unatakiwa GPA ya 4.8 kuanzia Sasa huyu wa yohana evening class daaah
 
Yani mtu kafa tarehe 7 tena ndani ya Ikulu ya Dar wao wakakimbiza Makumbusho kwenda kufungia pump. Shubamitt! Msigwa naye kaonewa huruma tuu!
Ha ha watu Wana maneno
 
Tbc wavivu sana, kipindi kimoja kinaweza kurudiwa wiki mzima, vipindi havina mvuto afadhali kuwe na hotuba ya Mhe ndo utatamani kuangalia TBC
toka wamuondoe tido wamekosa creativity. wamefeli.
mkurugenzi wa sasa yupo pale kama picha.
 
MAMA SAMIA AMETUMIA VIGEZO GANI KUMRUDISHA KIDATA TRA WAKATI ALIKUWA NDO FAILURE PALE. JE HUYU THOBIAS RICHARD MWENYE UZOEFU WA SALES NDO UMEMPA TPA-SERIOUS? NADANHI SIKU YAKUAPISHA TUNATAKA MAELEZO.
ASANTE
Mh kwa hili kweli maswali yapo
Tusubiri majibu
 
Nijuacho RAIS hateui mtu bila kuwa na TAARIFA SAHIHI. HAO AMBAO NI WAZOEFU WAMEINUFAISHA NINI NCHI HII KUPITIA SEKTA YA GESI NA MAFUTA
 
Back
Top Bottom