Rais Samia Suluhu Hassan: Alama ya mwisho ya anguko la Utawala wa CCM, Tanzania

Hili andiko ipo siku tutalifukua. Bado kitambo kodogo tu
 
muulize magufuli atakwambia
 
CHADOMO MNAJUA KWELI KUJIFARIJI HONGERENI SANA,NAFANANISHA NA FISI ANAYESUBIRIA MKONO WA BINADAMU UANGUKE ILI AUOKOTE AULE.
 
Kwanini wewe usianzishe chama chako?
 
Muda muda muda ni dawa muhimu sana
 
Ccm siyo chama cha siasa,kama siasa wameshashindwa siki nyingi,wamerudi nyuma kupekua madesa yao wamelikuta hili la kudharau katiba kurudi kwenyemfumo wachama kimojaambapo chama ni dola
1.kuteua watu wadola kwenye teuzi za kisiasa
2.matamko ya chama kutolewa na polisi
3.kuunda vikundi vya kutesa na kuuwa ili kuwatisha wananchi kuwa kujinasibisha na siasa za upinzani ni hatari
4.wizi wa wazi wali za umma inaonyesha kuwa viongozi nao wamekata Tamara
5.kutoa maazimio yaliopingana wazwazi tena kwenye level ya juu mfano bandari ya bagamoyo
6.kuvunja hata katiba ya chama chao ili kuzuia demokrasia ya uchaguzi ndani hii ni pamoja na kutumia dolaku kunyamazisha baadhi ya wanachama wenye mtazamo tofauti mf.kikao cha kukata jina la lowasa
Hii yote is haraka hakuna chama ni dola imebaki,kuanguka kwaccm ni mpaka dola igawanyike
TUSUBIRI TAMKO MAALUM
 
Kote huku ni kujaribu kuchelewesha anguko na mwisho Wa utawala huu uliodumu kwa miaka karibu 60 sasa...

Wanafahamu kwa hakika kabisa kuwa majira na nyakati zimewakataa na zimepita...

Hili la CCM linafanana na mfano huu;

Kwamba, wana wa Israel ilikuwa wawe utumwani Misri kwa miaka 400 lakini iliongezeka hadi kifika 430 kwa sababu ya Farao alijaribu kupambana na NYAKATI na MAJIRA kuzuia mpango wa Mungu....

Ndivyo ilivyo kwa CCM. In fact walipaswa kuondoka mwaka 1995. Wakafanya wawezavyo kufanya na wakaponea chupuchupu mwaka 2015 lakini mwaka 2020 unyama wao ukaonekana waziwazi kila mtu akaona....

Mungu akasema, HAPANA..

Kwanza akamwondoa wakala mkuu mkuu wa uharibifu na uovu, JOHN POMBE MAGUFULI. Hili likawa - shake kwa nguvu CCM na wakatikisika kweli na kisha kukawaka moto miongoni mwao Julio is a banishes na "scramble for power". Mwisho huyu mama akapewa kwa shingo upande....

Huyu ndiye mafuta na kikaango chao...
 
Andiko la akili wenye akili tumelielewa
 
CCM and their leaders are not required by the normal citizens in Tanzania they have chosen to stay quiet eagerly waiting to punish the regime a few years to come.
 
Mama amezungukwa na manyang'au
Hivi manyangau hutafuna watu siyo? Mbona kama hatishiki ... kumbukumbu za figisu za unaibu spika bunge la katiba uliziona weye? labda israeli awasaidie tena ... vinginevyo unafki mtupu. Cheki mijizi ilivyorejea kitaani na matanuzi yaleyale. Hii mijitu ni marafiki wa watoto waleeeee ... midalali ya enzi hizi.
 
Kwanza irudisheni hiyo nchi yenu inayoitwa Tanganyika, ndio Baadae hawa washirika wawili Tanganyika na Zanzbar wakae wajadili hayo mambo wanayotaka. Venginevyo hakua nchi inayoitwa Tanzania Bara. Pili Raisi alietawala hivi sasa Ni Mtanzania. Na hakuna Uraia wa Zanzibar unaotambulika duniani popote Pale. Ujanja wenu sasa unafikia mwisho
 
Uwepo wa CCM Madarakani una tegemea mambo makuu 3 nayo ni :
1. Polisi
2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi
3. Katiba

Ndo Maana Kati ya vitu hawawezi ruhusu Kamwe ni KATIBA kuandikwa upya.

Ikitokea Tume ya Uchaguzi ikawa huru Kamwe CCM hawezi fikisha Wabunge zaidi ya (50) hamsini...
 
Na hapo ndipo palipo na vita ya pande tatu Deep State, Msoga camp na Pro-Magufuli Camp ambao wengi ni wale alowateua katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi hii na bado wapo.

Tatizo pale mwanzoni mama aliingizwa chaka na "Msoga camp" au wahuni kwa kukubali afanye uteuzi katika nafasi nyeti na kuwaondoa Kalemani na Chamuriho.

Mzee Mfugale alipokataa ujinga mwingine akapewa shinikizo akapata pressure na ikamwondoa uhai.

Na jamaa wa Ulinzi nae sijui nani vile nae akakasirika lakini ukikasirika sana wapata ule ugonjwa wa moyo na waweza kufa.

Ukiangalia sasa hivi ni kama vile January ametulia kidogo na kuna masuala mengine yametulizwa kwa muda ni kazi ya Pro-Magufuli Camp na Deep state.

This shit is real na D state wamekasirika sana khasa wazee kama yule mvaa kofia na mzee mmoja hivi ana jina linoanza na mfalme wa mwitu.
 
Kuanguka kwa CCM kutatokana na kuanza kupoteza wabunge wengi ambao wananchi wataamua ( kwa hasira) kuwachagua kwenda upinzani na hii ni stratejia ya kwanza.

Kosa kubwa na ambalo Hayati Mwalimu aliliachia lifanyike ni pale mwaka 1992 CCM ilipobadilika na kuwa chama dola yaani kuwa sehemu hizo 3 hapo juu pamoja na mahakama na Bunge.

Ni kosa ambalo linatugharimu watanzania leo hii.
 
CHADOMO MNAJUA KWELI KUJIFARIJI HONGERENI SANA,NAFANANISHA NA FISI ANAYESUBIRIA MKONO WA BINADAMU UANGUKE ILI AUOKOTE AULE.

1. Kwani wewe unajua lini utakufa.?

2. Kiuhalisia hujui. Lakini ingalau unaweza kujua kuwa unaweza kufa kwa kuona dalili za kifo i.e ugonjwa, kuwa ktk mazingira hatarishi nk

3. Sasa wewe ndugu yangu hata hili kuwa CCM iko kwenye mazingira hatarishi ya kutoweka huoni na wewe unasema ni "fisi kuvizia mkono wa binadamu udondoke?"

Ndugu Crocodiletooth Mungu amekupa akili ili uzitumie kutambua jema na baya ili ujihadhari, ujizatiti na wakati mwingine utahadharishe au uonye baya lisimkute mtu...

Nimeonya na kuitahadharisha CCM. Sasa kama wana akili kama zako, utashangaa sana this time mkono wa binadamu kuanguka na fisi kuvizia kwake kukampa manufaa...!!
 
A bitter True's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…