Rais Samia Suluhu Hassan alivyotembelea kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

Rais Samia Suluhu Hassan alivyotembelea kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
3479bd0d-1317-48c4-8b20-9f128463b076.jpeg

ad93559d-bd45-46d0-8153-93ec6234b359.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Kata ya Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.

76412da0-01d0-4c08-bce6-9ea85e1f4086.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu mara baada ya kuwasili nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, kata ya Lupaso, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
 
Siyo kutembelea makaburi tu atembelee pia njia za hawa Mashujaa katika kuliheshimisha taifa
 
Kuna script ya movie naiandaa Lupaso the ultimate challenge encounter freedom. Kwenye iyo movie Ben anatembeza mkono balaa.
 
Ina maana na mama Anna atasitiriwa humo kwenye huo mjengo au itakuwa nje
 
Mkapa huyu huyu wa makabwela ?

Sasa hizo hela za kupamba si watupe wajane tupate mitaji.

Let them Rest well.
 
Back
Top Bottom