Rais Samia Suluhu Hassan, amerejea nyumbani akitokea Rwanda

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku!

Aksanteni sana
 
Ile 5H-1 Gulf stream iliyotulisha nyasi iko wapi mpaka tuchome mafuta hivi na hili lidude.

Tunasumbua tu abiria wa Air Tanzania na flight cancelling + delay.
 
Karibu Sana Tanzania Rais Wa JMT, Ndugu SSH
Unaupiga Mwingi Sana Mitano Tena
Mpaka Tufike Uchumi Wa Juu Tuwe Dona Cantri Ulimwenguni Kote
 
CCM laana, wanaleta hizi picha tuone ati kuwa waliposhikwa viongozi wa Chadema Mbeya yeye alikuwa hayupo. Hizo ndiyo hesabu zao, unafiki mtupu. Nikiondoka washikeni mimi nitakanusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…