Rais Samia Suluhu Hassan ampongeza Rais Mteule wa Zambia Haikande Hichilema kwa kushinda muhula wa pili

Nyaraka inasomeka Zanzibar hapo pembeni kushoto kwa lipi????
Gentleman,
ungependelea iandikwe Dodoma au Dar Es Salaam wakati mkuu wa nchi yupo Ikulu ya Tanzania Zanzibar wakati taarifa hiyo inatoka?🐒
 
Ana Ikulu tena kwenye Nchi nyingine..! Je wa kule??
kuna Ikulu kila wilaya nchini gentleman,

na hata akiwa nje ya nchi,
akitoa taarifa lazima ionyeshe location alipo katika taarifa hiyo 🐒
 
Tapeli anampongeza tapeli mwenzake. Hata hivyo yule Mpinzani sikumkubali kivile.
 
Ni albu, ule ulikuwa uchafuzi.. yaani walimuogopa hadi Mpina wakamfanyia mizengwe maana Samia hata angeshindanishwa na kinyesi, kinyesi kingeshinda...

Huyu ndio alikua anashindana na kivuli chake na bado akaua watu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…