Rais akitoa taarifa popote alipo itaandikwa alipo whether Wilayani, Mkoani, nje ya nchi itakuwa ndo address yake kwa wakati huoNielekeze mpaka kuja kukomenti maana yake umenielewa
Rais akitoa taarifa popote alipo itaandikwa alipo whether Wilayani, Mkoani, nje ya nchi itakuwa ndo address yake kwa wakati huoNielekeze mpaka kuja kukomenti maana yake umenielewa
Kampeni zote zile na kurusha helicopter, kuzunguka na wasanii na kuwahonga watu ubwabwa na pesa kumbe anashindana na kivuli chake.. wakaona haitoshi wakaua na Watanzania..
Dar hakuna lolote..Vibe la Katoro tu hapo hailifikii...Kwa Tanzania hii haujawahi kutokea upinzani kwa sababu vyama viko Dar es Salaam tuu haviwezi kuleta ushindani kwenye Uchaguzi Upinzani wajitahidi sana kueneza chama up country ndani ndani huko huwezi kushinda urais kwa chama kilichopo Mbeya Mjini, Arusha Mjini na Dar😁😁😁
Safi sana!Zinasoma alipo kwa wakati huo hata angekua Songwe Katavi ingesoma hivyo Rais yuko Zanzibar kwa Mapumziko