Rais Samia Suluhu Hassan aondoka Nchini kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi mama we katafute Hela bhana
 
safi huu mkutano wa muhimu sana maana kuna fungu la post covid kutoka world bank IDA 20 replenishment.acha mh. akachangamkie hela na kazi iendelee.
 
Uchawa na upambe umeharibu fikra za watanzania wengi tena kibaya zaidi wale walio katika rika la kuzalisha mali.
 
Nakutakia safari njema na urudi salama mama.
 
Ww huoni kama ni too much? Kikwete alikua anasafiri sana Ila sio Kama alivyo mama Samia, hii Ni too much
Si mlitaka Rais anae safiri!? haya Sasa Mungu kasikia dua yenu!!
 
Si mlitaka Rais anae safiri!? haya Sasa Mungu kasikia dua yenu!!
Ndio tulitaka anayesafiri safari za tija kama mama afanyavyo. Siyo asiyetaka na kuogopa kusafiri kwasababu hajui kiingereza.

tameer
 
Aiport ihamishiwe karibia na Ikulu kurahisisha mambo.
 
IDA kuna hela,awahi kabisa
 
Safi sana. Akatafute pesa. Kule kwetu kijijini, Kuna familia mama yao alikua akisafiri kwenda mjini anakaa sana. Akirudi anawaletea wanae nguo mpya.
 
Kama inawezekana akalowee huko huko, huku tubaki hatuna Rais wa kuchora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…