Rais Samia Suluhu Hassan aondoka Nchini kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano

Rais Samia Suluhu Hassan aondoka Nchini kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano

Taarifa katika Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango inasema, "Leo tarehe 06 Julai, 2022 nimeagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya Mhe. Rais Samia kuondoka kuelekea Dakar Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for Africa)"

View attachment 2282245

View attachment 2282244
Hii ni ziara ya 17 tangu aingie madarakani March 2021 kujua ziara nyingine soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Mar 2021
Mnhh!! 😇😇
 
Vijana wanakua insipired na watu wa hovyo kama kina baba levo sijui mwijaku kuliko watu wa maana katika jamii, vijana wanaamini katika uchawa na dili kuliko kujituma.

Watanzania wanapenda sana kujadili petty issues kuliko mambo ya maana.
Wasomi ndo hao wanatupa stress bora tulifresh na akina Baba level, Utakuja kufa kimasikhara sana Mkuu punguza Mihemko ya Kisiasa.
 
Wamekuja watu kutoka Oman wapo Njombe, nenda Arusha katazame ongezeko la utalii. Nenda Pwani utazame viwanda vinavyoibuka kila kukicha. Tatizo lako masikio unayategesha kusikia habari mbaya tu. Wanakuja wageni wanatajirika mswahili anachojua ni kutafuta sababu ya kukosoa tu.
Hakuna haja ya yowe. Macho tunayo
 
Wasomi ndo hao wanatupa stress bora tulifresh na akina Baba level, Utakuja kufa kimasikhara sana Mkuu punguza Mihemko ya Kisiasa.
Ndio nyie vijana wa hovyo haya nenda kwa mange kaangalie connection hovyo sana nyie watu. Bora shahawa zilizokuzaa babako angetumia kondom.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Samia tembea kwa kadiri utakavyoona inafaa hii nchi Nyerere alishaharibu vichwa vya watu kwa siasa zake mbovu za kijamaa. Nchi gani machawa ndo wanaonekana prominent kwa jamii kuliko wasomi? Mtanzania anaguswa na habari za Manara kuliko mfumuko wa bei.
 
Taifa ina vilaza wengi sana, wao kwao siasa ni kushoto na kulia tu, hukuna katikati, Ni ama ukatili au udhaifu, kusafiri kupita maelezo au kutosafiri kabisa. Safari bado ndefu sana.
Ukiambiwa chakula kina chumvi nyingi jibu sio kutokuweka kabisa. Kila jambo lifanyike kwa wastani. Rais hapaswi kusafiri zaidi ya safari 10 kwa mwaka. Labda kwakuwa yeye ni rais mwanamke hapo sawa.
 
Mwache akatafute hela jamni. Maisha yazidi kuneemeka si mnaona sasahivi life lilivyo "simple"? Nchi inafunguliwa, bei ya mafuta ni sawa na bure, umeme ndo usiseme na miradi ya kimkakati iliyoachwa na mwendazake yote imekamilika , vijana wetu wameeajiriwa, machinga wanafanya biashara zao vizuri tu hadi wanafanya graduation [emoji1787][emoji1787] AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU?[emoji1787][emoji1787]
hela anayodai ndo ameiacha nyumbani watu wakipora rasilimali za nchi
1.wanyama hai
2.Gesi
3.Madini yanatoroshwa kama watu hawana akili nzuri
4.bandari watu wanapiga tu mizigo inapita free
5.etc
 
Samia tembea kwa kadiri utakavyoona inafaa hii nchi Nyerere alishaharibu vichwa vya watu kwa siasa zake mbovu za kijamaa. Nchi gani machawa ndo wanaonekana prominent kwa jamii kuliko wasomi? Mtanzania anaguswa na habari za Manara kuliko mfumuko wa bei.

Hatari sana.
 
Ndio nyie vijana wa hovyo haya nenda kwa mange kaangalie connection hovyo sana nyie watu. Bora shahawa zilizokuzaa babako angetumia kondom.
Yan wewe Akili huna kabisa taifa lina hasara kama Chawa wa chama wenyewe ndo hawana staha mdomoni kama Mama yao kias hiki.
 
Jaman Lusungo ni Timamu wa akili? Au kaathirika na siasa za mitandaoni maana sijaona faida ya uchafu wa mdomo wake katika jamii.
 
Back
Top Bottom