Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ikulu T

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2023
Posts
1,600
Reaction score
4,714
Wengi mmekuwa mkiamini kuwa kwa hali inayoendelea nchini,Samia ataogopa kugombea 2025 au hata akigombea atashindwa!!Niwaambie tu hili halitakaa litokee.

Zifwatazo ni sababu kuu tatu...
1.Chama tawala cha CCM bado hakijazidia hoja na upinzani hata kidogo.

2.Shinikizo liliopo kutaka kumyumbisha rais halitoshi hata kidogo!! Kwan suala la DP world litaendelea kama kawaida na litafanyiwa marekebisho kidogo kwenye mapungufu ililiwe na tija zaidi kwa taifa.

3.Utulivu unaoonyesha na Samia kama kiongoz wa nchi unaonyesha hajashindwa hata kidogo kuongoza hii nchi licha ya msukumo mkubwa wakutaka kumyumbisha.

Mwisho tukutane 2025 november kushuhudia kuapishwa kwa Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030.

Hii thread iingizwe kwenye Hansad.
 
Ni kwa kupitia tu msaada kutoka geshi letu la polishi, na ile tume aliyoiteua yeye mwenyewe.
Kinyume na hapo, aisee nakuhakikishia saa 2 tu asubuhi angekuwa ameangukia pua.
 
Hata yeye mwenyewe hana confidence ya kuendelea na ndio maana ameanza kuwahamisha Ukoo wake kwenda Uarabuni!! Mguu mmoja bongo mwingine Uarabuni!! Mnajua uhusiano wake na huyo aliyemteua kuwa balozi OMAN? She is preparing for her resettlement!
 
Ndugu Rais hawez kupoteza confidence kwa shinikizo dogo hivi.
 
Mimi hata ccm wamsimamishe Malaika asiye na dhambi kutoka kwa Mungu Baba, bado na yeye sitampa kura yangu.
Kwa hiyo wewe hoja yako ni kwamba huitaki CCM?
Hujali kama kiongoz aliepo anauwezo au la?
 
Lingekuwa shinikizo dogo asingekuwa anaweweseka namna hiyo mpaka anaondoka nchini kisirisiri!! This DpWorld saga wili define her political fate!
Zile ni personal trips sio ziara official
 
Wengi mmekuwa mkiamini kuwa kwa hali inayoendelea nchini,Samia ataogopa kugombea 2025 au hata akigombea atashindwa!!Niwaambie tu hili halitakaa litokee.

Zifwatazo ni sababu kuu tatu...
1.Chama tawala cha CCM bado hakijazidia hoja na upinzani hata kidogo.

2.Shinikizo liliopo kutaka kumyumbisha rais halitoshi hata kidogo!! Kwan suala la DP world litaendelea kama kawaida na litafanyiwa marekebisho kidogo kwenye mapungufu ililiwe na tija zaidi kwa taifa.

3.Utulivu unaoonyesha na Samia kama kiongoz wa nchi unaonyesha hajashindwa hata kidogo kuongoza hii nchi licha ya msukumo mkubwa wakutaka kumyumbisha.

Mwisho tukutane 2025 november kushuhudia kuapishwa kwa Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030.

Hii thread iingizwe kwenye Hansad.
Bandari yetu mustakabali wetu,mengine tupa kule.
 
Kwa faida ya nani??
 
Back
Top Bottom