Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali hilo waulize wabunge wetu wa sasa kwanza.....Kutoka ofisi ya mbunge na serikali wangapi wanapewa hela hizo kutoka serikalin matokeo yake hawafanyi utekelezaji?
Dr Slaa ni mwanasiasa asiye na mipaka. Ni potential popote atakapokuwa.Lazima ashinde kwa kuwa hakuna upinzani tanzania kuna kundi la waganga njaa tu. Leo Dr. Slaaa ndio anaonekana potential canditate wa chadema ndio kiini cha kelele zote hizi mnazosikia hadi kuingiza dini. Wamesahau yote ambayo Dr. Slaa aliwatenda mwaka 2015
Umri umemtupa mkono na akili yake imechoka sana, hana hoja ni kelele tuDr Slaa ni mwanasiasa asiye na mipaka. Ni potential popote atakapokuwa.
Huu ujinga umeutoa wapi?..Amka kwenye hiyo ndoto haina afya.Lazima ashinde kwa kuwa hakuna upinzani tanzania kuna kundi la waganga njaa tu. Leo Dr. Slaaa ndio anaonekana potential canditate wa chadema ndio kiini cha kelele zote hizi mnazosikia hadi kuingiza dini. Wamesahau yote ambayo Dr. Slaa aliwatenda mwaka 2015
Basi mpaka umetoa kauli hiyo ni dhahiri unamatumain na chama chochote cha siasa bas ni vyema kwa kauli yako mwenyewe useme tu kuwa ccm iendelee na kazi pale ilipo ishiaSwali hilo waulize wabunge wetu wa sasa kwanza.....
Kama bado unaishi kwenye fikra za kumtegemea mtu nchi itachelewa sana.Mkuu sasa upinzani unafikiri wana mgombea gani wa utais ambaye atakubalika mkuu?
Wapi nimeonesha kumtegemea mtu hapo?Kama bado unaishi kwenye fikra za kumtegemea mtu nchi itachelewa sana.
Mnasikilizaje mitazamo ya wasio na madaraka yoyote.nyie ndo mko madarakani fanyeni wajibu wenu kwausahihi badala ya kuweweseka na kauli na mitazamo ya wasio na madaraka.Mwisho wananchi ndio wanaotakiwa waamue nasio wewe kuanza kukaririsha maamuzi ya uchaguzi ambao muda wake bado ata kama mna access ya vyombo vya dola na tume ya uchaguzi.Nawanaosema hatashinda wanafanyaje?? Wakat bado mapema???
Upinzani hoja hakuna ni allegations za mara police,tume etc kila kukicha!!Mnasikilizaje mitazamo ya wasio na madaraka yoyote.nyie ndo mko madarakani fanyeni wajibu wenu kwausahihi badala ya kuweweseka na kauli na mitazamo ya wasio na madaraka.Mwisho wananchi ndio wanaotakiwa waamue nasio wewe kuanza kukaririsha maamuzi ya uchaguzi ambao muda wake bado ata kama mna access ya vyombo vya dola na tume ya uchaguzi.
Tembelea majimbo machacheUpinzani hoja hakuna ni allegations za mara police,tume etc kila kukicha!!
Ndugu unasoma nyakati kwel?? Hapa kinacholengwa ni uchaguz kwa kias kikubwa..Moja ya changamoto kubwa inayoturudisha nyuma watanzania ni pale mtu mzima anapoamka au kulala akiwazia kushinda uchaguzi uchaguzi hata kwa majira yasiyohusiana.
Ni hivi hata Ngendere atashinda uchaguzi Kupitia CCM.Wengi mmekuwa mkiamini kuwa kwa hali inayoendelea nchini,Samia ataogopa kugombea 2025 au hata akigombea atashindwa!!Niwaambie tu hili halitakaa litokee.
Zifwatazo ni sababu kuu tatu...
1.Chama tawala cha CCM bado hakijazidia hoja na upinzani hata kidogo.
2.Shinikizo liliopo kutaka kumyumbisha rais halitoshi hata kidogo!! Kwan suala la DP world litaendelea kama kawaida na litafanyiwa marekebisho kidogo kwenye mapungufu ililiwe na tija zaidi kwa taifa.
3.Utulivu unaoonyesha na Samia kama kiongoz wa nchi unaonyesha hajashindwa hata kidogo kuongoza hii nchi licha ya msukumo mkubwa wakutaka kumyumbisha.
Mwisho tukutane 2025 november kushuhudia kuapishwa kwa Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030.
Hii thread iingizwe kwenye Hansad.