Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu hilo litawezekana kama atapitishwa na mamlaka mbili nazo ni ;-

1.Mungu mwenye uhai wake hadi hapo 2025,yaani mtangulizi wake alizaliwa kama alivozaliwa Huyu hivyo hana maajabu YEYOTE KWA MUNGU mwenye uhai wake!!!

2.Deep state na TEC ikiwemo hadi SASA waraka wa tec ni kizuizi tosha kabisa kwake!!

Mengine ni majaaliwa ya maulana!
 
Anza kuhesabu kura atakazokosa.

Mimi sitompigia kura
Kwa magufuli watu mlisemaje ila badae jamaa akabeba kwa zaidi ya asilimia 80......shida bongo ma keyboard warrior ni wengi na viongozi wanajua hilo
 
Wengi mmekuwa mkiamini kuwa kwa hali inayoendelea nchini,Samia ataogopa kugombea 2025 au hata akigombea atashindwa!!Niwaambie tu hili halitakaa litokee.

Zifwatazo ni sababu kuu tatu...
1.Chama tawala cha CCM bado hakijazidia hoja na upinzani hata kidogo.

2.Shinikizo liliopo kutaka kumyumbisha rais halitoshi hata kidogo!! Kwan suala la DP world litaendelea kama kawaida na litafanyiwa marekebisho kidogo kwenye mapungufu ililiwe na tija zaidi kwa taifa.

3.Utulivu unaoonyesha na Samia kama kiongoz wa nchi unaonyesha hajashindwa hata kidogo kuongoza hii nchi licha ya msukumo mkubwa wakutaka kumyumbisha.

Mwisho tukutane 2025 november kushuhudia kuapishwa kwa Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030.

Hii thread iingizwe kwenye Hansad.
TEC wanasemaje?
 
Basi mpaka umetoa kauli hiyo ni dhahiri unamatumain na chama chochote cha siasa bas ni vyema kwa kauli yako mwenyewe useme tu kuwa ccm iendelee na kazi pale ilipo ishia
Soma vyema ID yangu mkuu.
Nchini hapa msanii anaonekana mtu wa hovyo, lakini kwenye ulimwengu ulioendelea huwa wanajua uwezo wake kiakili ndo maana uwekezaji kwenye sekta hiyo si mdogo

Saikolojia yangu imenionesha jambo ambalo siliendekezi
 
Kwa magufuli watu mlisemaje ila badae jamaa akabeba kwa zaidi ya asilimia 80......shida bongo ma keyboard warrior ni wengi na viongozi wanajua hilo
Magufuli awamu ya kwanza tulimpa kura.
Awamu ya pili alibaka kura
 
Ni kweli atatangazwa mshindi sio kwasababu ya wingi wa kura, bali mifumo ya uchaguzi iliyopo automatically inaibeba CCM. Na kwakuwa cheo cha urais ndio kinaamua idadi gani ya kura apewe mgombea yoyote wa CCM, basi atatangazwa mshindi kwa idadi ya kura azitakazo, na sio lazima ziwe ni kura halali kwenye box la kura.

Kwa maneno marahisi ni kwamba, Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Sikubaliani na wewe, nimefanya kazi vijijini, huko hakuna ofisi ya
chama zaidi ya ccm,
 
Sikubaliani na wewe, nimefanya kazi vijijini, huko hakuna ofisi ya
chama zaidi ya ccm,
Huko vijijini hakuna ofisi za simba wala yanga. Je team hizo hazina mashabiki? Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio wanaamini kwenye ofisi. Kizazi cha sasa hakihitaji ofisi. Na isitoshe uchaguzi ni kuchagua mtu sio jengo la ofisi. Ofisi zingekuwa na maana tusingeona chaguzi za kishenzi hivi.
 
Unachagua kwa kitu gani ??? Hoja au mkumbo???
Mfano kipind cha nyuma LEMA alikuwa anapiga porojo + uhuni halafu wendawazm wanamchagua!
 
Upinzani bado hawako tayari kuongoza hii nchi. Ngoja tuendelee na mama kwanza.
 
Lazima ashinde kwa kuwa hakuna upinzani tanzania kuna kundi la waganga njaa tu. Leo Dr. Slaaa ndio anaonekana potential canditate wa chadema ndio kiini cha kelele zote hizi mnazosikia hadi kuingiza dini. Wamesahau yote ambayo Dr. Slaa aliwatenda mwaka 2015
Kweli Tanzania hakuna upinzani kuna wanaharakati. Kama tungekuwa na wapinzani wanaojielewa huyu mama angepigwa chini.
 
Unachagua kwa kitu gani ??? Hoja au mkumbo???
Mfano kipind cha nyuma LEMA alikuwa anapiga porojo + uhuni halafu wendawazm wanamchagua!
Kwani nyie mnachaguliwa kwa kitu gani hasa, maana hata hizo huduma za maji, umeme, elimu, afya nk ni uozo mtupu.
 
Kweli Tanzania hakuna upinzani kuna wanaharakati. Kama tungekuwa na wapinzani wanaojielewa huyu mama angepigwa chini.
Anzisha chama umpige chini, au unadhani anatolewa madarakani kwa njia ya kura?
 
Anzisha chama umpige chini, au unadhani anatolewa madarakani kwa njia ya kura?
Kumbe unajua huyo mama hakubaliki ila ni hujma tu ccm ndizo zinamuweka madarakani
 
Soma vyema ID yangu mkuu.
Nchini hapa msanii anaonekana mtu wa hovyo, lakini kwenye ulimwengu ulioendelea huwa wanajua uwezo wake kiakili ndo maana uwekezaji kwenye sekta hiyo si mdogo

Saikolojia yangu imenionesha jambo ambalo siliendekezi
Natambua mkuu
 
Back
Top Bottom