Kwani tume si ndio ileile na wizi wa kura haujakoma!Wengi mmekuwa mkiamini kuwa kwa hali inayoendelea nchini,Samia ataogopa kugombea 2025 au hata akigombea atashindwa!!Niwaambie tu hili halitakaa litokee.
Zifwatazo ni sababu kuu tatu...
1.Chama tawala cha CCM bado hakijazidia hoja na upinzani hata kidogo.
2.Shinikizo liliopo kutaka kumyumbisha rais halitoshi hata kidogo!! Kwan suala la DP world litaendelea kama kawaida na litafanyiwa marekebisho kidogo kwenye mapungufu ililiwe na tija zaidi kwa taifa.
3.Utulivu unaoonyesha na Samia kama kiongoz wa nchi unaonyesha hajashindwa hata kidogo kuongoza hii nchi licha ya msukumo mkubwa wakutaka kumyumbisha.
Mwisho tukutane 2025 november kushuhudia kuapishwa kwa Samia kuwa Rais wa JMT hadi 2030.
Hii thread iingizwe kwenye Hansad.
Walete mezani na Ile mikataba mingine waliyosaini ili tupate uhondo wa kweli tusiyumbishane.
Na hakuna anayekataa uwekezaji ila yaliyomo ndani ndio laana!!