Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

Pre GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan atashinda urais 2025 asubuhi na mapema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata kama akishindwa Tume hiyo itafanya UJECHA.
 
Niwaambie badala ya Samia atakuwa nani, au basi nisitoe Siri za chama. 😃😃😃😃
 
Wadau nataka niseme.
Mama Ssmia ni lazima atashinda Urais mwaka 2025.
Kijiti alichorithi toka kwa mtsngulizi wske kilikuwa kizito.
Mbowe alikuwa lupango akiwa na kesi ya uhaini.
Akipokea kijiti, mtu akiw CHADEMA ni kama mtu snayenuka kinyesi. Hata wana CCM usipounga juhudi za Mwenyekiti unabambikwa kesi ya uhujumu.
Wawekezaji walikuwa wanatokomea kwa kiwango cha kutisha. Wafanyabiashara wengi walikuwa wznarudisha leseni za biashara.
Kwa kifupi tulikuwa tunaishi in a Police Stae.
Sasa hivi watu wana uhuru wa kuongea bila wasi wasi wowote.
Na sasa hiviwatu wanaanzisha biashara kulingana na matskwa yao.
Kwa nini tusimpe mama MITANO TENA?
100%✓
 
mipango ya kuchakachua kura + vyombo vya ulinzi na usalama (polisi n.k)= ushindi wa kishindo
 
Wadau nataka niseme.
Mama Ssmia ni lazima atashinda Urais mwaka 2025.
Kijiti alichorithi toka kwa mtsngulizi wske kilikuwa kizito.
Mbowe alikuwa lupango akiwa na kesi ya uhaini.
Akipokea kijiti, mtu akiw CHADEMA ni kama mtu snayenuka kinyesi. Hata wana CCM usipounga juhudi za Mwenyekiti unabambikwa kesi ya uhujumu.
Wawekezaji walikuwa wanatokomea kwa kiwango cha kutisha. Wafanyabiashara wengi walikuwa wznarudisha leseni za biashara.
Kwa kifupi tulikuwa tunaishi in a Police Stae.
Sasa hivi watu wana uhuru wa kuongea bila wasi wasi wowote.
Na sasa hiviwatu wanaanzisha biashara kulingana na matskwa yao.
Kwa nini tusimpe mama MITANO TENA?

Tume ya Uchaguzi Yake
Jeshi lake
Form inatoka moja
TEETH yake

Unategemea kushindwa?
 
Kama Mama ataamua kugombea Urais 2025 na akapewa ridhaa ya CCM hatashinda kwa hizo sababu ulizosema,atashinda kwa sababu ni mwana CCM.
 
Yote uliyosema ni kweli kabisa lakini sijui ni kwa nini wananchi wengi wa kawaida hawamkubali.

Nafikiri watanzania wengi wanapenda siasa alizofanya jpm na hizi anazofanya Makonda.
Zile siasa za kumkemea mwenye nacho na kumpetipeti mnyonge.
Siasa hizo Rais Samia Hana. Jambo linalofanya wananchi wamwone sio rais wa wanyonge
Mkuu hakuna mnyonge, mtegemezi anayempenda wajiri.
Siku zote muajiriwa anaona kama muajiri anampunja.
Lakini kwa upande mwingine, muajiriwa haoni kuwa bila muajiri angekuwa mtaani bila ajira.
Nchi nyingine waajiri wanaotoa fursa wanapewa incentives.
 
Wadau nataka niseme.
Mama Ssmia ni lazima atashinda Urais mwaka 2025.
Kijiti alichorithi toka kwa mtangulizi wake kilikuwa kizito.
Mbowe alikuwa lupango akiwa na kesi ya uhaini.
Akipokea kijiti, mtu akiwa CHADEMA ni kama mtu anayenuka kinyesi.
Hata wana CCM usipounga mkono juhudi za Mwenyekiti unabambikwa kesi ya uhujumu.
Wawekezaji walikuwa wanatokomea kwa kiwango cha kutisha. Wafanyabiashara wengi walikuwa wanarudisha leseni za biashara.
Kwa kifupi tulikuwa tunaishi in a Police State.
Sasa hivi watu wana uhuru wa kuongea bila wasi wasi wowote.
Na sasa hivi watu wanaanzisha biashara kulingana na matakwa yao.
Kwa nini tusimpe mama MITANO TENA?
Abood: Ukiona wanamsifia, jua wametoka kuiba!!

Kiukweli,

HATOGOMBEA!!
 
Kwa. Mfumo wetu wa uchaguzi ulivyo hakuna mshindi.
Kuna anayetangazwa kwamba ameshinda.
Mwenye final say siyo mpiga kura bali anayetangaza matokeo
 
Sisi ni binadamu, anaweza asifike pia......tupunguze utabiri maana hatujui ya kesho
 
Abood: Ukiona wanamsifia, jua wametoka kuiba!!

Kiukweli,

HATOGOMBEA!!
Nyie ndio mambumbumbu swuared ambao mnategemea vya kuletewa mezani.
Hamjishughulishi wala kujipa shida katika kutafuta njulugu.
Chini ya mama watu wanachakarika kutafuta pesa, na wanazipata.
Nyie kaeni vijiweni mkinywa gahwa!
 
Tofauti Yako wewe na Lucas, uchawa kwako ni part time job!!
 
Back
Top Bottom