Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia Taifa - Desemba 8, 2021

Miaka 60 ya Uhuru kuonesha wapi tunetoka, tupo na tunaelekea wapi

Mmeshasahau tangazo la JWTZ la hivi karibuni watu mkakaa mkao wa 'kula' kumbe ni tangazo la tahadhari dhidi ya matapeli
 
Leo katika hotuba yake
Atazungumzia mambo ya miaka 60 ya Uhuru tukesho uwanja wa taifa atamwachia mgeni wa heshima Uhuru Kenyatta ahutubie basi
 
Aache kushobokea uhuru wa Tanganyika
 
Tuna taka kusikia Siro hana kazi na Mbowe yuko huru
Hahaha, yaani kesho siku ya kukumbuka Uhuru wa miaka 60 halafu amtumbue IGP usiku wake? itakuwa rekodi mpya hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…