Kigoma Region Tanzania
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 230
- 612
Ahsante sana kiongoziKamsikilize mkuu wa mkoa Anangisye ameeleza plan za kufufua hio meli mpaka iwe mpya na zingine 3 juu. Jumla Tanganyika itapata meli nne. Mahojiano baada ya kuapishwa na raisi SSH
Yemwa UlimoMkuu, poleni sana.
Sasa:
1.) Watu wa Mpulungu wanatumia usafiri gani?
2.) Nanasi zetu za Mkongolo zinasafirishwaje?
3.) Tunapataje mchele wetu pendwa kutoka maeneo ya Sumbawanga?
Mwakeye batamaa mulakomeye mwesaaa?? Imana Ishimwee!!
Mkuu, Mara ya mwisho umeenda lini!?
Bado tunasubiri
okMkuu, poleni sana.
Sasa:
1.) Watu wa Mpulungu wanatumia usafiri gani?
2.) Nanasi zetu za Mkongolo zinasafirishwaje?
3.) Tunapataje mchele wetu pendwa kutoka maeneo ya Sumbawanga?
Mwakeye batamaa mulakomeye mwesaaa?? Imana Ishimwee!!
TutafanyajeKuna zile Meli mbili MV Mbeya sijui 3 ziwa Nyasa naskia zimegima.
Zote haziendi sijui zimelogwa zile nilipanga nipige adventure huko mara zimekufa.
Sijui zinaendeleaje.
sawa
okYemwa Ulimo