Rais Samia Suluhu Hassan wakumbuke walimu wa masomo ya sanaa (arts)

Wewe umeajiriwa? Shukuru kwa hilo! Maana hata walimu wa masomo ya sayansi nao wamejazana mtaani.

Kabla ya magufuli kuingia madarakani, ilikua ni ngumu sana kumkuta mhitimu wa masomo ya Hisabati, Fizikia, Kemia na Bailojia akisubiria ajira mtaani!

Ila kwa sasa, wapo lukuki wakifanya mpaka kazi za kujitolea kwa posho ya laki 1 mpaka laki 1 na nusu kwa mwezi!

Sikuwahi kuajiriwa na sina hilo wazo milele
Tulisoma tujue kuhesabu na kuandika hela mkuu
 
Wewe umeajiriwa? Shukuru kwa hilo! Maana hata walimu wa masomo ya sayansi nao wamejazana mtaani.

Kabla ya magufuli kuingia madarakani, ilikua ni ngumu sana kumkuta mhitimu wa masomo ya Hisabati, Fizikia, Kemia na Bailojia akisubiria ajira mtaani!

Ila kwa sasa, wapo lukuki wakifanya mpaka kazi za kujitolea kwa posho ya laki 1 mpaka laki 1 na nusu kwa mwezi!
Hakika ni wengi sana mtaani
 
Siyo kosa mimi kuwa miongoni mwao.Tofauti iliyo kubwa ni kuwa mimi siyo mbinafsi kama wewe.
Hivi kweli una elimu ya chuo kikuu lkn bado unata kuajiriwa? mshahara wenyewe laki 6, aise tz tuna safari ndefu sana ili tujikomboe.
 
Siyo kila jambo lazima useme neno.
Kama unafikiri ni kupoteza muda sijaona umuhimu wa wewe kupoteza muda kukomenti.
P
 
Hao walimu ndio walishiriki uchafuzi mkuu October halafu mnataka tuwaonee huruma?
 
Siyo kila jambo lazima useme neno.
Kama unafikiri ni kupoteza muda sijaona umuhimu wa wewe kupoteza muda kukomenti.
P
Bado safari tunayo, aachana na mawazo ya kuajiriwa toka nje ukachanganye akili
 
Back
Top Bottom