nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Kinachoniuma sana mimi mfuasi kindakindaki wa iliyokuwa awamu ya Tano ni kwamba Masalia yetu ambayo tulitegemea 2025 yatakuwa imara yameshavunjwa miguu tayari hayana ujanja tena.
Tena wamesemwa kama watoto yatima ambao hawana wazazi, tukianzia Katelephone kisha Spika (JBL) naona ndio mwisho wao kisiasa.
Ila huyu Spika (JBL) ndio famba kabisa haiwezekani mtu kama yeye kusimama mbele na kutubu kwa binadamu kwa sala yetu pendwa ya “NIMEKOSEA NIMEKOSEA SANA MIMI MKOSEFU” kwa kweli ametukosea sana sisi wakiristo kutoka kanisa pendwa la Roman Catholic (R.C).
Ila sijashangaa sana maana baada ya clip ile kuzagaa ilivutwa waya moja kwa moja ikimtaka kufanya hivyo alivyofanya jana la sivyo angeondoshwa kwa aibu kuu.
Mwisho kabisa tujitahidi kuheshimu mamlaka “Serikali” hakika mwenye kisu ndiye mula nyama sio kwa mchambo huu mzito kutoka kwa Chifu wetu Hangaya kutoka kisiwani, hakika Wazanzibari nimewanyooshea mikono juu.