😳😳 Rais c amekataa, amesema tufanye kazi! Mpaka 20252025 twende na Mwigulu
🤔🤔🤔kumbe hata yeye anajuwa kuwa macho yake yamelegea
Nenda nae peke yako...mimi naenda na mwanamke2025 twende na Mwigulu
Yaani, niache kwenda na Mama Samia, niende na jizi?! Nope.2025 twende na Mwigulu
🤣🤣🤣Nenda nae peke yako...mi naenda na mwanamke
Mkuu acha uduanzi basi!2025 twende na Mwigulu
Si huwa anajitizama kwenye kioo?? Asije tu kuongeza kuyalegeza.Kumbe hata yeye anajuwa kuwa macho yake yamelegea
Mwigulu usiweke dosari yoyote ile ndani ya utendaji wako wa kazi. Dalili zote zinaanza kuonyesha kuwa wewe ni "the next in power"Rais Samia Suluhu amewataka mawaziri na watendaji wote kuwajibika na kufanya kazi na rekodi zao zitawafata katika maisha yao. Rais amesema pamoja na macho yake kulegea, yanaona na atakuwa na jicho kubwa kuangalia rekodi zao.
"Inapoingia kipindi cha pili cha Rais aliepo, watu kidogo mnakuwa na lile na hili kuelekea mbele, nataka kuwaambia acheni. Twendeni tufanye kazi, hili na lile tutajua mbele, sawa ndugu zangu?" Alisema Rais Samia.
Mama jicho limelegea kweli kweliRais Samia Suluhu amewataka mawaziri na watendaji wote kuwajibika na kufanya kazi na rekodi zao zitawafata katika maisha yao. Rais amesema pamoja na macho yake kulegea, yanaona na atakuwa na jicho kubwa kuangalia rekodi zao.
"Inapoingia kipindi cha pili cha Rais aliepo, watu kidogo mnakuwa na lile na hili kuelekea mbele, nataka kuwaambia acheni. Twendeni tufanye kazi, hili na lile tutajua mbele, sawa ndugu zangu?" Alisema Rais Samia.
Siyo Singida tu bali ilikuwa nchi nzima hadi mipakani2025 mawe yote ya Singida yatakuwa na print ya "Mwigulu ni Rais"
Kumbe hata yeye anajuwa kuwa macho yake yamelegea