Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sahau.Nenda naye mpaka mpotee.2025 twende na Mwigulu
Kumbe hata mwenyekiti mwenyewe haelewi anachotaka, huko CCM ni vurugu tupu.Hamna kitu hapo anawapigia mbuzi gitaa tu.
CCM wanajua wakishapitishwa na chama chao kuwa wagombea urais basi automatically wanakuwa wameshashinda urais wenyewe, kwasababu hii katiba mbovu iliyopo itawapa ushindi.
Ndio maana wao hutumia nguvu nyingi na muda mwingi kuwekeza kwenye chama chao ili wapitishwe kuwa wagombea, hapo mwenyekiti asipoteze muda wake kuwashauri nini cha kufanya.
Hajamaliza hata mwaka.Mama aliwakataza wenzake, halafu yeye anafanya aliyowakataza..
Hamna kitu kwenye lile bichwa.Ni box tupu.Mama aliwakataza wenzake, halafu yeye anafanya aliyowakataza..