Rais Samia Suluhu: Kila mwenye nia 2025 aache mara moja

Mahesabu ya majaliwa naona yamevurugika,nilitamani sana majaliwa awe rais ila basi tu,kwa sasa ni ngumu,maana natamani samia akimbie hadi 2030,labda ajipange kuanzia 2030
 
Kumbe hata mwenyekiti mwenyewe haelewi anachotaka, huko CCM ni vurugu tupu.
 
Bi hangaya hataki mwengine yoyote aongelee urais ndo maana anamkumbatia madelu na kamuingiza februari ili apunguze vichokochoko, tusubiri usajili wa gwajiboy ndani ya timu...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…