Rais Samia Suluhu: Kuhusu bando, mkalishughulikie, wananchi walipiga kelele mkalituliza

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
“Kuhusu suala la mabando kulizuka rabsharabsha juzi hapa, Wananchi wakapiga kelele mkalituliza, kalifanyieni kazi lisizuke namna ile mpo mnaangalia hawa Watu wanakuja tu na mambo yao mpaka Wananchi washtuke na nyie ndio mnashtuka, kakaeni nao” – Rais Samia Suluhu Hassan.

Vodacom Tanzania mtajikuta mnapendwa sana, wacha tuwakimbie ndio akili iwakae sawa. Utaratibu wenu wa kuto kurudisha message nikijiunga kifurushi unafanya nipate hasira na kuwa mkaidi kulipa madeni yenu kama Songesha na Mpawa.

Juzi naunga bando, mnanipa bando lingine, nimethibitisha namba kuwa ya ziada bado mko bize kunisumbua wakati napiga simu, customer care wenu ana sauti mbaya, badala mtume sms mmekaza "ndugu mteja thibitisha namba yako" Mnaudhi sana. Nasbr nusu dkk nzima ya utopolo wenu bado mteja hapatikani.

Ningetukana sema Mods wanatoa sana macho, naweza kula ban.

Badilikeni.

Saizi hatusifu na kuabudu.
 
Mama uza zile Ndege zinazotuletea Hasara ya kutisha
 
Wabadilike nini we hama kabisa mtandao
 
Back
Top Bottom