Vodacom Tanzania mtajikuta mnapendwa sana, wacha tuwakimbie ndio akili iwakae sawa. Utaratibu wenu wa kuto kurudisha message nikijiunga kifurushi unafanya nipate hasira na kuwa mkaidi kulipa madeni yenu kama Songesha na Mpawa.
Juzi naunga bando, mnanipa bando lingine, nimethibitisha namba kuwa ya ziada bado mko bize kunisumbua wakati napiga simu, customer care wenu ana sauti mbaya, badala mtume sms mmekaza "ndugu mteja thibitisha namba yako" Mnaudhi sana. Nasbr nusu dkk nzima ya utopolo wenu bado mteja hapatikani.
Ningetukana sema Mods wanatoa sana macho, naweza kula ban.
Badilikeni.
Saizi hatusifu na kuabudu.