Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

Naam Ndivyo tunavyopaswa kuishi.
 
Achana na Mambo ya Vijembe.
 

Marekani ni kawaida sana.
 
Hii nchi ngumu sana. Pamoja na kwamba jambo ulilosema ni jema ila kuna tabia MBAYA ya wahudumu wanaotaka wasujudiwe na wateja. Yaani unafika upate huduma, wewe mteja ndiyo unasalimia kwanza, wewe ndiyo ukiwa unaondoka unashukuru na mambo mengine kama hayo! Wanaojua biashara walisema MTEJA MFALME. Na pia MTEJA SIKU ZOTE YUKO SAHIHI.

Isije ukawa unapenda tabia hizi za wahudumu wetu.
 
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mtamkumbuka sana nyinyi mafisadi kwa mnyoosho mliopata na bado tunaendelea kuwanyoosha kisawa sawa. Sasa kila analofanya Rais Mama Samia lazima msifu mkifikiri atawaregezea nyinyi wauza madawa.
Kazi ya Rais ni kuboresha maisha ya watu,

Siyo kunyoosha au kukomesha watu.

Mmeathirika sana kisaikolojia nyie mbuzi
 

Hatimaye unaanza kusifia, haitapunguza huruma ya ile kesi yetu TPA ha ha ha ha
 
Hohehahe mwenzangu Miss Beatrice hujaweza kuweka ka video?
 
Weka picha
 
Sukuma GANG
 
Mtamkumbuka sana nyinyi mafisadi kwa mnyoosho mliopata na bado tunaendelea kuwanyoosha kisawa sawa. Sasa kila analofanya Rais Mama Samia lazima msifu mkifikiri atawaregezea nyinyi wauza madawa.
Kwa taarifa yako hiyo mama anapewa sifa zake ili kuonyesha baradhuli alikuwa anaharibu nchi. Hakuna anayetegemea hisani yake yoyote, maana kama watu wameishi chini ya ibilisi na wametoboa, ni hisani gani wanataka kwa huyu mama. Naona watu msiojulikana mnapata hasira mas mnajua mama hatawahitaji tena maana hana chuki na wananchi wenye mitazamo tofauti na yeye. Katafute kazi halali, hiyo ya kuteka na kuua watu huyu hayuko tayari kushiriki.
 
Hakuna lolote nyinyi nyumbu wafuata upepo mnajua kwa sasa Saccos ya Chadema hailipi sasa mnajipendekeza kwa CCM tu kupitia Mama Samia.
 
Kazi ya Rais ni kuboresha maisha ya watu,

Siyo kunyoosha au kukomesha watu.

Mmeathirika sana kisaikolojia nyie mbuzi
Wauza madawa na mafisadi utaboreshaje maisha yao mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…