Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

Wewe mama wa Kihaya una macho yanayoona mbali sana, imenibidi nitafte hii clip kuona unalolisema. True anaonekana akishukuru, Kwanza kitendo Cha kumwona huyu muhudumu wakati tumezoea viongozi wengi uelekeza macho kwa wenyeji wao ni ishara ya makuzi. Huu unaitwa uongozi unaoacha halama bila kutumia maneno. Hii video naidownload kiongozi akifoka namtag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumkumbusha zama za kufokafoka zimepita sisi sote ni binadamu tuna Hali yakuheshimiwa na tutaadhibiwa baada yakuthibitika tuna hatia
Naam Ndivyo tunavyopaswa kuishi.
 
Kweli kbs tusiwe kama yule mwenyekiti wa chama fulan ambae mwaka 2015 alipuuza ushauri na matakwa ya wanachama wake kwa kuamua kumpitisha yule fisadi papa agombee uraisi kupitia chama chake bila kufuata utaratibu mzuri na ushauri wa waona mbali, wakiwemo wasomi wakubwa wa chama hicho. Sipati picha kama mwenyekiti huyu angekuwa au akiwa raisi anaweza kusikiliza ushaur wa mtu yoyote au kujishusha kama alivyofanya raisi unaemzungumzia hapa. Japo wanachama walimtaka yule dr Slaa lkn yeye kwa kuangalia masilahi ya tumbo lake akaamua iwe ilivyokuwa. Alikataa kujishusha kwa kufuata ushaur wa wanachama wake walio wengi na alitumia uenyekiti wake na kiburi kuamua aliyoyataka yeye
Achana na Mambo ya Vijembe.
 
Wewe mama wa Kihaya una macho yanayoona mbali sana, imenibidi nitafte hii clip kuona unalolisema. True anaonekana akishukuru, Kwanza kitendo Cha kumwona huyu muhudumu wakati tumezoea viongozi wengi uelekeza macho kwa wenyeji wao ni ishara ya makuzi. Huu unaitwa uongozi unaoacha halama bila kutumia maneno. Hii video naidownload kiongozi akifoka namtag😂😂😂😂😂kumkumbusha zama za kufokafoka zimepita sisi sote ni binadamu tuna Hali yakuheshimiwa na tutaadhibiwa baada yakuthibitika tuna hatia

Marekani ni kawaida sana.
 
Hii nchi ngumu sana. Pamoja na kwamba jambo ulilosema ni jema ila kuna tabia MBAYA ya wahudumu wanaotaka wasujudiwe na wateja. Yaani unafika upate huduma, wewe mteja ndiyo unasalimia kwanza, wewe ndiyo ukiwa unaondoka unashukuru na mambo mengine kama hayo! Wanaojua biashara walisema MTEJA MFALME. Na pia MTEJA SIKU ZOTE YUKO SAHIHI.

Isije ukawa unapenda tabia hizi za wahudumu wetu.
 
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mtamkumbuka sana nyinyi mafisadi kwa mnyoosho mliopata na bado tunaendelea kuwanyoosha kisawa sawa. Sasa kila analofanya Rais Mama Samia lazima msifu mkifikiri atawaregezea nyinyi wauza madawa.
Kazi ya Rais ni kuboresha maisha ya watu,

Siyo kunyoosha au kukomesha watu.

Mmeathirika sana kisaikolojia nyie mbuzi
 
Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao.

Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu kwa wadogo na si mazuri.

Nikupongeze Mhe. Rais kwa ulichokifanya, najua ukujipanga kufanya hivyo ila umefanya kwa sababu ndivyo ulivyolelewa na kukuzwa. Ila baada yakufanya hivyo sisi wa chini yako na wananchi tumeitafsiri hii Kama ishara yakurudisha nidhamu na heshima ndani ya Utumishi na jamii kwa mkubwa kumheshimu mdogo kadhalika kwa mdogo kumheshimu mkubwa.

Umemtia moyo sana huyo muhudumu wa ndege lakini pia umewatia moyo wengi waliokuwa na hofu dhidi ya watu wenye madaraka.

Niwatake viongozi wengine mjifunze kuheshimu walinzi, wapishi, wafanyakazi wa ndani, wahudumu, wasaidizi na kila mtu unayeinteract naye katika maisha binafsi na maisha ya kazi. Tuache kujimwambafai tukiamini titaogopeka.

Respect my president.

Hatimaye unaanza kusifia, haitapunguza huruma ya ile kesi yetu TPA ha ha ha ha
 
Weka picha
 
Gharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120]
Sukuma GANG
 
Mtamkumbuka sana nyinyi mafisadi kwa mnyoosho mliopata na bado tunaendelea kuwanyoosha kisawa sawa. Sasa kila analofanya Rais Mama Samia lazima msifu mkifikiri atawaregezea nyinyi wauza madawa.
Kwa taarifa yako hiyo mama anapewa sifa zake ili kuonyesha baradhuli alikuwa anaharibu nchi. Hakuna anayetegemea hisani yake yoyote, maana kama watu wameishi chini ya ibilisi na wametoboa, ni hisani gani wanataka kwa huyu mama. Naona watu msiojulikana mnapata hasira mas mnajua mama hatawahitaji tena maana hana chuki na wananchi wenye mitazamo tofauti na yeye. Katafute kazi halali, hiyo ya kuteka na kuua watu huyu hayuko tayari kushiriki.
 
Hakuna lolote nyinyi nyumbu wafuata upepo mnajua kwa sasa Saccos ya Chadema hailipi sasa mnajipendekeza kwa CCM tu kupitia Mama Samia.
 
Back
Top Bottom