Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Unazungumzia kitu gani??..Mlipokuwa mnazipanda na kumwagilizia maji ili zimee vizuri mlitegemea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumzia kitu gani??..Mlipokuwa mnazipanda na kumwagilizia maji ili zimee vizuri mlitegemea nini?
Naam Ndivyo tunavyopaswa kuishi.Wewe mama wa Kihaya una macho yanayoona mbali sana, imenibidi nitafte hii clip kuona unalolisema. True anaonekana akishukuru, Kwanza kitendo Cha kumwona huyu muhudumu wakati tumezoea viongozi wengi uelekeza macho kwa wenyeji wao ni ishara ya makuzi. Huu unaitwa uongozi unaoacha halama bila kutumia maneno. Hii video naidownload kiongozi akifoka namtag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumkumbusha zama za kufokafoka zimepita sisi sote ni binadamu tuna Hali yakuheshimiwa na tutaadhibiwa baada yakuthibitika tuna hatia
Achana na Mambo ya Vijembe.Kweli kbs tusiwe kama yule mwenyekiti wa chama fulan ambae mwaka 2015 alipuuza ushauri na matakwa ya wanachama wake kwa kuamua kumpitisha yule fisadi papa agombee uraisi kupitia chama chake bila kufuata utaratibu mzuri na ushauri wa waona mbali, wakiwemo wasomi wakubwa wa chama hicho. Sipati picha kama mwenyekiti huyu angekuwa au akiwa raisi anaweza kusikiliza ushaur wa mtu yoyote au kujishusha kama alivyofanya raisi unaemzungumzia hapa. Japo wanachama walimtaka yule dr Slaa lkn yeye kwa kuangalia masilahi ya tumbo lake akaamua iwe ilivyokuwa. Alikataa kujishusha kwa kufuata ushaur wa wanachama wake walio wengi na alitumia uenyekiti wake na kiburi kuamua aliyoyataka yeye
Hicho hichoUnazungumzia kitu gani??..
Huyo ni zaidi ya Hadija KopaAchana na Mambo ya Vijembe.
Mmhhh!!!, sidhaniYaani Rais hata akikohoa kwa sasa utaanzishwa Uzi. Ni mwendo wa kusifu kinafikii tu.
Wewe mama wa Kihaya una macho yanayoona mbali sana, imenibidi nitafte hii clip kuona unalolisema. True anaonekana akishukuru, Kwanza kitendo Cha kumwona huyu muhudumu wakati tumezoea viongozi wengi uelekeza macho kwa wenyeji wao ni ishara ya makuzi. Huu unaitwa uongozi unaoacha halama bila kutumia maneno. Hii video naidownload kiongozi akifoka namtag😂😂😂😂😂kumkumbusha zama za kufokafoka zimepita sisi sote ni binadamu tuna Hali yakuheshimiwa na tutaadhibiwa baada yakuthibitika tuna hatia
Pole sana ndugu,inaonyesha ni mtu uliyechanganyikiwa.Hicho hicho
Kazi ya Rais ni kuboresha maisha ya watu,Mtamkumbuka sana nyinyi mafisadi kwa mnyoosho mliopata na bado tunaendelea kuwanyoosha kisawa sawa. Sasa kila analofanya Rais Mama Samia lazima msifu mkifikiri atawaregezea nyinyi wauza madawa.
Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao.
Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu kwa wadogo na si mazuri.
Nikupongeze Mhe. Rais kwa ulichokifanya, najua ukujipanga kufanya hivyo ila umefanya kwa sababu ndivyo ulivyolelewa na kukuzwa. Ila baada yakufanya hivyo sisi wa chini yako na wananchi tumeitafsiri hii Kama ishara yakurudisha nidhamu na heshima ndani ya Utumishi na jamii kwa mkubwa kumheshimu mdogo kadhalika kwa mdogo kumheshimu mkubwa.
Umemtia moyo sana huyo muhudumu wa ndege lakini pia umewatia moyo wengi waliokuwa na hofu dhidi ya watu wenye madaraka.
Niwatake viongozi wengine mjifunze kuheshimu walinzi, wapishi, wafanyakazi wa ndani, wahudumu, wasaidizi na kila mtu unayeinteract naye katika maisha binafsi na maisha ya kazi. Tuache kujimwambafai tukiamini titaogopeka.
Respect my president.
Weka pichaWakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao.
Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu kwa wadogo na si mazuri.
Nikupongeze Mhe. Rais kwa ulichokifanya, najua ukujipanga kufanya hivyo ila umefanya kwa sababu ndivyo ulivyolelewa na kukuzwa. Ila baada yakufanya hivyo sisi wa chini yako na wananchi tumeitafsiri hii Kama ishara yakurudisha nidhamu na heshima ndani ya Utumishi na jamii kwa mkubwa kumheshimu mdogo kadhalika kwa mdogo kumheshimu mkubwa.
Umemtia moyo sana huyo muhudumu wa ndege lakini pia umewatia moyo wengi waliokuwa na hofu dhidi ya watu wenye madaraka.
Niwatake viongozi wengine mjifunze kuheshimu walinzi, wapishi, wafanyakazi wa ndani, wahudumu, wasaidizi na kila mtu unayeinteract naye katika maisha binafsi na maisha ya kazi. Tuache kujimwambafai tukiamini titaogopeka.
Respect my president.
Mama Samia mbna mzungu kabsa sema bado muda ni mfupi tutamuelewa 2Hohehahe mwenzangu Miss Beatrice hujaweza kuweka ka video?
Sukuma GANGGharama zote na matumizi ya ndege kubwa.Angekuwa Magufuli angetumia usafiri wa barabara na angesimama baadhi ya maeneo kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi.Tutamkumbuka sana JPM.Aendelee kupumzika kwa amani [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa taarifa yako hiyo mama anapewa sifa zake ili kuonyesha baradhuli alikuwa anaharibu nchi. Hakuna anayetegemea hisani yake yoyote, maana kama watu wameishi chini ya ibilisi na wametoboa, ni hisani gani wanataka kwa huyu mama. Naona watu msiojulikana mnapata hasira mas mnajua mama hatawahitaji tena maana hana chuki na wananchi wenye mitazamo tofauti na yeye. Katafute kazi halali, hiyo ya kuteka na kuua watu huyu hayuko tayari kushiriki.Mtamkumbuka sana nyinyi mafisadi kwa mnyoosho mliopata na bado tunaendelea kuwanyoosha kisawa sawa. Sasa kila analofanya Rais Mama Samia lazima msifu mkifikiri atawaregezea nyinyi wauza madawa.
Hakuna lolote nyinyi nyumbu wafuata upepo mnajua kwa sasa Saccos ya Chadema hailipi sasa mnajipendekeza kwa CCM tu kupitia Mama Samia.Kwa taarifa yako hiyo mama anapewa sifa zake ili kuonyesha baradhuli alikuwa anaharibu nchi. Hakuna anayetegemea hisani yake yoyote, maana kama watu wameishi chini ya ibilisi na wametoboa, ni hisani gani wanataka kwa huyu mama. Naona watu msiojulikana mnapata hasira mas mnajua mama hatawahitaji tena maana hana chuki na wananchi wenye mitazamo tofauti na yeye. Katafute kazi halali, hiyo ya kuteka na kuua watu huyu hayuko tayari kushiriki.
Wauza madawa na mafisadi utaboreshaje maisha yao mkuu?Kazi ya Rais ni kuboresha maisha ya watu,
Siyo kunyoosha au kukomesha watu.
Mmeathirika sana kisaikolojia nyie mbuzi