Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Well saidBado hawajasema watalindwa kwa namna gani.
GAME NA KIFO Ni marafiki.!?
Mmeanza sifa za kijingaHuyu Mama jamani ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Hilo lipo akilini na huyu mama anaonekana ana vision kubwa sana.Bado hawajasema watalindwa kwa namna gani.
GAME NA KIFO Ni marafiki.!?
😆😆😆Huyu Mama jamani ni zawadi kutoka kwa Mungu.
IKULU INA WAMILIKI WENGI.Hilo lipo akilini na huyu mama anaonekana ana vision kubwa sana,
Samaki ana mengi ya kusema tatizo maji, na hivi sasa naona kasogea sehemu ambayo anaweza kusema na kutenda.
Teh, mmoja wa wananchi si ndio huyu Mamaetu au?IKULU INA WAMILIKI WENGI.
Labda wananchi tuimiliki sisi
Hahahahahahahahahahahaha.........Huyu Mama jamani ni zawadi kutoka kwa Mungu.
KUSIFIA KWENU NI KAWAIDA KWA KILA ANAYEINGIASpana za Mama zipo full
Yule mtu ni hatari alishajua kakoko anang'olewa tangu janaYule wa Twitter nae atalindwa?
Mkuu hebu kuwa na shukrani pale mtu anapofanya jambo zuri,KUSIFIA KWENU NI KAWAIDA KWA KILA ANAYEINGIA
Najua kuna mapungufu na ni ubinadamu, lakin i inapotumika nguvu kubwa kuficha mapungufu ndo wasiwasi unapoanzia.Mkuu hebu kuwa na shukrani pale mtu anapofanya jambo zuri...
Hii ni mbinu ya kumvuta vuta kigogo[emoji3][emoji3]Haya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG .
Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu.
View attachment 1736512
Tuko pamoja mkuu, bora hebu tumpe muda Mama na kukosoa pale ambapo tunaona kaenda kombo, halafu tumpongeze pia pale anapofanya zuri au mema.Najua kuna mapungufu na ni ubinadamu, lakin i inapotumika nguvu kubwa kuficha mapungufu ndo wasiwasi unapoanzia...
Haya niambie, wale waliokamatwa kwa "KUZUSHA" kuwa rais anaumwa, watafanywa nini?