Rais Samia Suluhu: Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi na watoa taarifa

Rais Samia Suluhu: Kuna umuhimu wa kuangalia upya Sheria zinazowalinda mashahidi na watoa taarifa

Mkuu hebu kuwa na shukrani pale mtu anapofanya jambo zuri,

Sasa wewe ukiwa kila kitu ni kupinga hivi tukikupa wewe atatenda mema tu bila kukosea!?

Basi wewe hutakuwa binadamu bali Malaika, na hii ndio picha mbaya tunayojengeana kwa baadhi ya waTanzan

Mkuu hebu kuwa na shukrani pale mtu anapofanya jambo zuri,

Sasa wewe ukiwa kila kitu ni kupinga hivi tukikupa wewe atatenda mema tu bila kukosea!?

Basi wewe hutakuwa binadamu bali Malaika, na hii ndio picha mbaya tunayojengeana kwa baadhi ya waTanzania
Na shida yenu nyingine ambayo ni kubwa sana, mkipingwa jambo moja, hamkawii kusema mmepingwa kila kitu... huko ni kukosa hoja kwa ulichopingwa kwa wakati husika
 
Mama asituzubaishe sana na matumbuzi ya watu wa Magufuli

Tunataka mchakato wa Katiba Mpya nao uanze
Hicho sio kipaumbele chetu kwa sasa tunatekeleza miradi/ahadi alizoacha marehemu kwanza
 
Tuko pamoja mkuu, bora hebu tumpe muda Mama na kukosoa pale ambapo tunaona kaenda kombo, halafu tumpongeze pia pale anapofanya zuri au mema.
Sina tatizo na hilo... Mama kafanya jema, tena sana KWENYE HILI... Na ninasifu pale alipoisema (kama ilivyonukuliwa na wasafi) kwamba watoa taarifa walindwe...

Siku za nyuma, watoa taarifa, na hasa wapinzani, walikuwa wanawindwa haswa..
 
Na shida yenu nyingine ambayo ni kubwa sana, mkipingwa jambo moja, hamkawii kusema mmepingwa kila kitu... huko ni kukosa hoja kwa ulichopingwa kwa wakati husika
Mkuu yaliyopita si ndwele tugqnge yajayo, halafu kama ulianza kumfuatilia Mama toka mwanzo nadhani na kuamini kuwa kuna kauli aliisema ya "kuzika tafauti na kuleta umoja wa watanzania" au umesahau!?
 
Mkuu yaliyopita si ndwele tugqnge yajayo, halafu kama ulianza kumfuatilia Mama toka mwanzo nadhani na kuamini kuwa kuna kauli aliisema ya "kuzika tafauti na kuleta umoja wa watanzania" au umesahau!?
sAWA KIONGOZI YALIYOPIOTA SI NDWELE. lakini kwa walioumizwa ni ndwele.... UNADHANI FAMILIA ZA WALIOFKWA NA MAJANGA HAWATAONA NI NDWELE? Mama ana kazi kubwa ya kurudisha umoja wa kitaifa...
 
Back
Top Bottom