barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Bila shaka umeingia cha kike hapo, unafikiria kulindwa kwa mropokaji na mpotoshaji.Haya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG .
Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu.
View attachment 1736512
Mkuu hebu kuwa na shukrani pale mtu anapofanya jambo zuri,
Sasa wewe ukiwa kila kitu ni kupinga hivi tukikupa wewe atatenda mema tu bila kukosea!?
Basi wewe hutakuwa binadamu bali Malaika, na hii ndio picha mbaya tunayojengeana kwa baadhi ya waTanzan
Na shida yenu nyingine ambayo ni kubwa sana, mkipingwa jambo moja, hamkawii kusema mmepingwa kila kitu... huko ni kukosa hoja kwa ulichopingwa kwa wakati husikaMkuu hebu kuwa na shukrani pale mtu anapofanya jambo zuri,
Sasa wewe ukiwa kila kitu ni kupinga hivi tukikupa wewe atatenda mema tu bila kukosea!?
Basi wewe hutakuwa binadamu bali Malaika, na hii ndio picha mbaya tunayojengeana kwa baadhi ya waTanzania
Hicho sio kipaumbele chetu kwa sasa tunatekeleza miradi/ahadi alizoacha marehemu kwanzaMama asituzubaishe sana na matumbuzi ya watu wa Magufuli
Tunataka mchakato wa Katiba Mpya nao uanze
sio kipaumbele chetu kwa sasa tunaijenga nchMama asituzubaishe sana na matumbuzi ya watu wa Magufuli
Tunataka mchakato wa Katiba Mpya nao uanze
naona Jafo naye ka onywa kama haiwezi tamisemi aseme kuna ubadhirifu mkubwa paleHaya ndio maneno ya Rais mpya wa Tanzania aliyoyatoa wakati akipokea Ripoti ya CAG .
Hii ni nuru mpya kwa sisi wafichua maovu.
View attachment 1736512
Sina tatizo na hilo... Mama kafanya jema, tena sana KWENYE HILI... Na ninasifu pale alipoisema (kama ilivyonukuliwa na wasafi) kwamba watoa taarifa walindwe...Tuko pamoja mkuu, bora hebu tumpe muda Mama na kukosoa pale ambapo tunaona kaenda kombo, halafu tumpongeze pia pale anapofanya zuri au mema.
Mpk sasa nakubaliana na wewe bt tumpe muda zaidi tuone,. Mwamba hakuwagusa kwakuwa walikuwa wanaiba huku wanamsifiaHuyu Mama jamani ni zawadi kutoka kwa Mungu.
watanzania tumlinde kwa nguvu zote hakuna raisi kama huyu tangu nchi ipate uhuruHuyu Mama jamani ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Mkiulizwa mnataka nini lwenye katiba mpya hamjui...Mama asituzubaishe sana na matumbuzi ya watu wa Magufuli
Tunataka mchakato wa Katiba Mpya nao uanze
Mkuu yaliyopita si ndwele tugqnge yajayo, halafu kama ulianza kumfuatilia Mama toka mwanzo nadhani na kuamini kuwa kuna kauli aliisema ya "kuzika tafauti na kuleta umoja wa watanzania" au umesahau!?Na shida yenu nyingine ambayo ni kubwa sana, mkipingwa jambo moja, hamkawii kusema mmepingwa kila kitu... huko ni kukosa hoja kwa ulichopingwa kwa wakati husika
Ohooo !!Hii ni mbinu ya kumvuta vuta kigogo[emoji3][emoji3]
sAWA KIONGOZI YALIYOPIOTA SI NDWELE. lakini kwa walioumizwa ni ndwele.... UNADHANI FAMILIA ZA WALIOFKWA NA MAJANGA HAWATAONA NI NDWELE? Mama ana kazi kubwa ya kurudisha umoja wa kitaifa...Mkuu yaliyopita si ndwele tugqnge yajayo, halafu kama ulianza kumfuatilia Mama toka mwanzo nadhani na kuamini kuwa kuna kauli aliisema ya "kuzika tafauti na kuleta umoja wa watanzania" au umesahau!?
Ulanzi wa Taifa kwanza