Rais Samia Suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Mpango viongozi wapya matumaini mapya

Rais Samia Suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Mpango viongozi wapya matumaini mapya

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Mabibi na mabwana safu ya juu kimsingi imekamilika. Sura zote mbili hizi ni mpya:

1. Samia ni mtaka maridhiano, muungwana na aliyedhamiria kupambana na wapigaji.

2. Dr. Mpango ni muungwana aliyeonja uhalisia wa Corona, mchumi ambaye kwa hali yoyote yeye kama mwenye uamuzi, hawezi kukubaliana na miradi isiyokuwa na faida.

Tunayo sababu ya kusherehekea mwanzo huu. Mwanzo huu ni mpya.

Tuwape muda waungwana hawa tunayo nafasi ya kuvuka pamoja katika namna iliyo bora zaidi.

Ya nini kuandikia mate?
 
... sijui wataendelea na msimamo kwamba Tanzania kuna Corona au ni Corona-free country! Au ni numonia inayoleta vimafua tu! Let's wait and see!
 
Nani kakudanganya Samia atakaa meza moja na mashoga na vibaraka wa imperialists? mtafurahi sana.

Jipe moyo kuliko askofu mponya wafu.

Dharura sana ni uhai wetu - mwongozo mpya kuhusiana na Corona unaozingatia protokali za WHO.

Ya maombi na nyungu hata msibani nayo Chatto hatuna tatizo nayo.
 
... sijui wataendelea na msimamo kwamba Tanzania kuna Corona au ni Corona-free country! Au ni numonia inayoleta vimafua tu! Let's wait and see!

Hapa ni pa dharura sana kwa maombi wa jiwe, labda kama tutawatangulia wao. Vinginevyo (mola apishilie mbali) tujiandae kudhibiti watu wasikanyagane tena uhuru stadium.
 
Sijui kwanini ninadoubt na VP ila anyway ngoja nijipe muda huenda hizi doubt zikaondoka

Mkuu kujipa muda ni hatua njema. Ila kutokea katika uzoefu waislam wengi wakisema wanamtanguliza Mungu mbele ni wakweli kuliko sisi wengine.

Inaweza kuwa ndiyo maana hatuishi miaka mingi pamoja na kuushika urais.

Uzoefu unaonyesha.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom