Rais Samia Suluhu, matatizo waliyonayo Watanzania ni ajira kwanza na siyo nyongeza kwa watumishi wa umma ambao ni 0.6% ya Watanzania

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako mtiifu na naapa kukufuata na kukupigania kwa Hali yoyote, sutakubali nikiona ukitukanwa au kubagazwa.

Leo Kuna Jambo naliona linataka kufanywa Kama ni ajenda ya kitaifa huku uhalisia unakataa.

Swali la kujiuliza mama, je watumishi wa umma wapo wangapi? Ukweli mama watukishi wa umma wapo wachache Sana ni sawa na 0.6% ya Watanzania wote.

Ila kundi la ambao hawana ajira ni kubwa Sana kuliko idadi ya watumishi waliopo, hivyo ni Bora ukaliangalia Hilo kundi kuliko wale ambao hawana kabisa ajira.

Najua kazi ya serikali sio kuajiri kila Mtu, Ila Kama utaweza kuwaongezea Hawa waliopo basi ni Bora ukaacha na badala yake utumie hiyo nyongeza kuajiri wapya.

Ni bora kidogo kinachokwenda kwa wengi kuliko kingi kinachobaki kwa wachache.

Hesabu ndogo:
Watumishi wapo takribani laki 4,
Tuseme kila mtumishi ana wategemezi 10
400,000 × 10 = 4,000,000
Mil 4 ni sawa na 6.6% ya watanzania wote(mil 60), hivyo bado pamoja na kuweka wategemezi Kuna 93% ya Watanzania haiguswi na watumishi wa umma.

Hivyo mama Samia naomba uangalie hii asilimia kubwa ya watanzania ndio uanze nayo kushugulikia matatizo yao.

Asilimia kubwa ya watanzania wanategemea kilimo wapo 65% ya watanzania wote, hivyo:
  • Boresha kilimo kwa kupata pembejeo kwa Bei ya chini, wapate soko la nje la kutosha la mazao gao
  • Wapate miundombinu rafiki ya kusafirisha mazao gao
  • Wapate huduma ya uhakika ya maji na umeme, sehemu nyingi vijijini hakuna kabisa huduma ya Maji Safi na salama
Hilo kundi kubwa linahitahi uhakika wa matibabu wanapoumwa.

Mama Samia hili kundi kubwa la Watanzania halipo mitandaoni hivyo ni ngumu wao kuona wakilalamilia hayo mitandaoni badala yake kundi dogo kabisa ndio kila siku linalia na kuongezewa mshahara.
 
Atengeneze mazingira ya kujiajiri na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje, mzunguko wa pesa ukiongezeka mtaani hautakumbuka kama wewe ni jobless, vikazi vya hapa na pale havitakosekana, na hili alishasema bado utekelezaji tu.
 
Hilo kundi dogo unalolisema ndiyo walipa kodi wa uhakika, na ndiyo fedha zao za mafao zinatumika kwenye miradi mingi ya hovyo na isiyo ya hovyo.

Kaa chini upige hesabu zako ndiyo utaelewa. Chukua makusanyo yote ya kodi kwa nchi nzima kwa mwezi, na utoe matumizi. Jibu utakalolipata ndipo shida ilipo.
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako mtiifu na naapa kukufuata na kukupigania kwa Hali yoyote, sutakubali nikiona ukitukanwa au kubagazwa.

Leo Kuna Jambo naliona linataka kufanywa Kama ni ajenda ya kitaifa huku uhalisia unakataa.

Swali la kujiuliza mama, je watumishi wa umma wapo wangapi? Ukweli mama watukishi wa umma wapo wachache Sana ni sawa na 0.6% ya Watanzania wote.

Ila kundi la ambao hawana ajira ni kubwa Sana kuliko idadi ya watumishi waliopo, hivyo ni Bora ukaliangalia Hilo kundi kuliko wale ambao hawana kabisa ajira.

Najua kazi ya serikali sio kuajiri kila Mtu, Ila Kama utaweza kuwaongezea Hawa waliopo basi ni Bora ukaacha na badala yake utumie hiyo nyongeza kuajiri wapya.

Ni bora kidogo kinachokwenda kwa wengi kuliko kingi kinachobaki kwa wachache.

Hesabu ndogo:
Watumishi wapo takribani laki 4,
Tuseme kila mtumishi ana wategemezi 10
400,000 × 10 = 4,000,000
Mil 4 ni sawa na 6.6% ya watanzania wote(mil 60), hivyo bado pamoja na kuweka wategemezi Kuna 93% ya Watanzania haiguswi na watumishi wa umma.

Hivyo mama Samia naomba uangalie hii asilimia kubwa ya watanzania ndio uanze nayo kushugulikia matatizo yao.

Asilimia kubwa ya watanzania wanategemea kilimo wapo 65% ya watanzania wote, hivyo:
  • Boresha kilimo kwa kupata pembejeo kwa Bei ya chini, wapate soko la nje la kutosha la mazao gao
  • Wapate miundombinu rafiki ya kusafirisha mazao gao
  • Wapate huduma ya uhakika ya maji na umeme, sehemu nyingi vijijini hakuna kabisa huduma ya Maji Safi na salama
Hilo kundi kubwa linahitahi uhakika wa matibabu wanapoumwa.

Mama Samia hili kundi kubwa la Watanzania halipo mitandaoni hivyo ni ngumu wao kuona wakilalamilia hayo mitandaoni badala yake kundi dogo kabisa ndio kila siku linalia na kuongezewa mshahara.
 
Dah mawazo ya Watanzania yanasikitisha sana,wewe mwenyewe umisha sema Watumishi waliopo hata laki 5 hawafiki na kumbuka kuwa hao Watumishi unawongelea waliopo maufisini kwa sasa ni ajira za toka miaka ya 1990- hadi sasa 2021hii maana yake ni kuwa Watu waliozaliwa toka miaka 1965 bado wapo maofisini.

Kama watu waliozaliwa 1965 bado wapo Ofisini wewe unahisi hizo nafasi za hao vijana kuajiriwa Serikalini zitatoka wapi?? bado ukizingatia nafasi hizo ni bado ni chache.Magufuli alikuwa natengenezabomu ambalo kulitatua ingehitaji miaka zaidi ya 50.

Kiuchumi njia pekee ambayo Serikali inatakiwa kutatua tatizo hili ni kuanza kutengeneza ajira jupitia watu kujiajiri wenyewe-kumbuka government expenditure ni kupitia utekelezaji wa miradi na ulipaji wa Mishahara tu.

Inabidi Serikali ianze kuachia fedha kwenda mifukoni kwa watu,I'll watu waanze kuzalisha ili ajira zipatikane na hapa ni njia kubwa na ya haraka ni kupitia nyongeza mishahara.

Njia nyingine nyongeza ajira inabidi Serikalinijitoe katika kufanya kazi katika Miradi inayotekelezwa na Serikali,iachie Sekta binafsi kufanya kazi hizo-hizo Sekta zitaajiri watu.na mwishowe tutapunguza tatizo hili LA ajira.

Mtoa mada najua nia yako ilikuwa njema ila ulikuwa huna uelewa na jinsi gani swala LA ajira lina weza kutatuliwa,Tatizo LA Ajira ni moja ya Tatizo kubwa LA kiuchumi ulimwenginu huwa lisipochukuliwa kwa mapana yake kinaweza sababisha matatizo mengkne makubwa zaidi ya kiuchumi,kiutawla na kijamii.Serikali inatakiwa kuwa makini.
 
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako mtiifu na naapa kukufuata na kukupigania kwa Hali yoyote, sutakubali nikiona ukitukanwa au kubagazwa.

Leo Kuna Jambo naliona linataka kufanywa Kama ni ajenda ya kitaifa huku uhalisia unakataa.

Swali la kujiuliza mama, je watumishi wa umma wapo wangapi? Ukweli mama watukishi wa umma wapo wachache Sana ni sawa na 0.6% ya Watanzania wote.

Ila kundi la ambao hawana ajira ni kubwa Sana kuliko idadi ya watumishi waliopo, hivyo ni Bora ukaliangalia Hilo kundi kuliko wale ambao hawana kabisa ajira.

Najua kazi ya serikali sio kuajiri kila Mtu, Ila Kama utaweza kuwaongezea Hawa waliopo basi ni Bora ukaacha na badala yake utumie hiyo nyongeza kuajiri wapya.

Ni bora kidogo kinachokwenda kwa wengi kuliko kingi kinachobaki kwa wachache.

Hesabu ndogo:
Watumishi wapo takribani laki 4,
Tuseme kila mtumishi ana wategemezi 10
400,000 × 10 = 4,000,000
Mil 4 ni sawa na 6.6% ya watanzania wote(mil 60), hivyo bado pamoja na kuweka wategemezi Kuna 93% ya Watanzania haiguswi na watumishi wa umma.

Hivyo mama Samia naomba uangalie hii asilimia kubwa ya watanzania ndio uanze nayo kushugulikia matatizo yao.

Asilimia kubwa ya watanzania wanategemea kilimo wapo 65% ya watanzania wote, hivyo:
  • Boresha kilimo kwa kupata pembejeo kwa Bei ya chini, wapate soko la nje la kutosha la mazao gao
  • Wapate miundombinu rafiki ya kusafirisha mazao gao
  • Wapate huduma ya uhakika ya maji na umeme, sehemu nyingi vijijini hakuna kabisa huduma ya Maji Safi na salama
Hilo kundi kubwa linahitahi uhakika wa matibabu wanapoumwa.

Mama Samia hili kundi kubwa la Watanzania halipo mitandaoni hivyo ni ngumu wao kuona wakilalamilia hayo mitandaoni badala yake kundi dogo kabisa ndio kila siku linalia na kuongezewa mshahara.
Ndio maana kuna "nane nane" na "saba saba" pia!! Mei Mosi ni siku ya hao unaowaita kundi dogo!!
 
Kwahiyo mama aajiri wote wanaotaka ajira?

Na wanaotakiwa nyongeza isimame hadi hao wengine wameajiriwa?

Hakuna serikali duniani inayoweza kuajiri watu wote.

Ajira mnatembea nazo hamzioni
Umesema nilichosema
 
Hilo kundi dogo unalolisema ndiyo walipa kodi wa uhakika, na ndiyo fedha zao za mafao zinatumika kwenye miradi mingi ya hovyo na isiyo ya hovyo.

Kaa chini upige hesabu zako ndiyo utaelewa. Chukua makusanyo yote ya kodi kwa nchi nzima kwa mwezi, na utoe matumizi. Jibu utakalolipata ndipo shida ilipo.
Wafanyakazi laki 4 wanalipa Kodi kiasi gan?
 
Fahamu matokeo ya kuongeza mishahara na matokeo ya kutoa ajira mpya. Wakati unatafiti hayo fikra zisiongozwe na hitaji ulilonalo wewe.
 
Ungejua kuwa kuna watumishi wengi sana wanapokea 180,000 out of laki nane kasoro iliyo kwenye hati ya mshahara kila wezi, na wana wategemezi, ungekaa kimya.
 
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako mtiifu na naapa kukufuata na kukupigania kwa Hali yoyote, sutakubali nikiona ukitukanwa au kubagazwa.

Leo Kuna Jambo naliona linataka kufanywa Kama ni ajenda ya kitaifa huku uhalisia unakataa.

Swali la kujiuliza mama, je watumishi wa umma wapo wangapi? Ukweli mama watukishi wa umma wapo wachache Sana ni sawa na 0.6% ya Watanzania wote.

Ila kundi la ambao hawana ajira ni kubwa Sana kuliko idadi ya watumishi waliopo, hivyo ni Bora ukaliangalia Hilo kundi kuliko wale ambao hawana kabisa ajira.

Najua kazi ya serikali sio kuajiri kila Mtu, Ila Kama utaweza kuwaongezea Hawa waliopo basi ni Bora ukaacha na badala yake utumie hiyo nyongeza kuajiri wapya.

Ni bora kidogo kinachokwenda kwa wengi kuliko kingi kinachobaki kwa wachache.

Hesabu ndogo:
Watumishi wapo takribani laki 4,
Tuseme kila mtumishi ana wategemezi 10
400,000 × 10 = 4,000,000
Mil 4 ni sawa na 6.6% ya watanzania wote(mil 60), hivyo bado pamoja na kuweka wategemezi Kuna 93% ya Watanzania haiguswi na watumishi wa umma.

Hivyo mama Samia naomba uangalie hii asilimia kubwa ya watanzania ndio uanze nayo kushugulikia matatizo yao.

Asilimia kubwa ya watanzania wanategemea kilimo wapo 65% ya watanzania wote, hivyo:
  • Boresha kilimo kwa kupata pembejeo kwa Bei ya chini, wapate soko la nje la kutosha la mazao gao
  • Wapate miundombinu rafiki ya kusafirisha mazao gao
  • Wapate huduma ya uhakika ya maji na umeme, sehemu nyingi vijijini hakuna kabisa huduma ya Maji Safi na salama
Hilo kundi kubwa linahitahi uhakika wa matibabu wanapoumwa.

Mama Samia hili kundi kubwa la Watanzania halipo mitandaoni hivyo ni ngumu wao kuona wakilalamilia hayo mitandaoni badala yake kundi dogo kabisa ndio kila siku linalia na kuongezewa mshahara.
Ajira ni ishu nyingine na haki ya mtumishi ni kitu kingine kama ilivyo kwa wanafamilia kutimiza majuku ni kitu kingine na kuongeza watoto ni kitu kingine...
 
Back
Top Bottom