Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako mtiifu na naapa kukufuata na kukupigania kwa Hali yoyote, sutakubali nikiona ukitukanwa au kubagazwa.
Leo Kuna Jambo naliona linataka kufanywa Kama ni ajenda ya kitaifa huku uhalisia unakataa.
Swali la kujiuliza mama, je watumishi wa umma wapo wangapi? Ukweli mama watukishi wa umma wapo wachache Sana ni sawa na 0.6% ya Watanzania wote.
Ila kundi la ambao hawana ajira ni kubwa Sana kuliko idadi ya watumishi waliopo, hivyo ni Bora ukaliangalia Hilo kundi kuliko wale ambao hawana kabisa ajira.
Najua kazi ya serikali sio kuajiri kila Mtu, Ila Kama utaweza kuwaongezea Hawa waliopo basi ni Bora ukaacha na badala yake utumie hiyo nyongeza kuajiri wapya.
Ni bora kidogo kinachokwenda kwa wengi kuliko kingi kinachobaki kwa wachache.
Hesabu ndogo:
Watumishi wapo takribani laki 4,
Tuseme kila mtumishi ana wategemezi 10
400,000 × 10 = 4,000,000
Mil 4 ni sawa na 6.6% ya watanzania wote(mil 60), hivyo bado pamoja na kuweka wategemezi Kuna 93% ya Watanzania haiguswi na watumishi wa umma.
Hivyo mama Samia naomba uangalie hii asilimia kubwa ya watanzania ndio uanze nayo kushugulikia matatizo yao.
Asilimia kubwa ya watanzania wanategemea kilimo wapo 65% ya watanzania wote, hivyo:
Mama Samia hili kundi kubwa la Watanzania halipo mitandaoni hivyo ni ngumu wao kuona wakilalamilia hayo mitandaoni badala yake kundi dogo kabisa ndio kila siku linalia na kuongezewa mshahara.

- Boresha kilimo kwa kupata pembejeo kwa Bei ya chini, wapate soko la nje la kutosha la mazao gao
- Wapate miundombinu rafiki ya kusafirisha mazao gao
- Wapate huduma ya uhakika ya maji na umeme, sehemu nyingi vijijini hakuna kabisa huduma ya Maji Safi na salama