Rais Samia Suluhu naona katua Dar leo. Tetesi zinasema atafanya ziara kwenye taasisi kubwa mbili hivi karibuni

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka.

Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize.

Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
 
Mama mama mama nakuombea kwa Mungu tenda haki katika kazi zako zote na Mungu atausimamisha imara utawala wako.
 
Unatoa tetesi bila kugusia taasisi zenyewe, hakika uandishi wa siku hizi unampa wakati mgumu sana msomaji.
 
Mama mama mama nakuombea kwa Mungu tenda haki katika kazi zako zote na Mungu atausimamisha imara utawala wako.

Hapo mwishoni point of correction [emoji115]

Mungu atausimamia imara “Uongozi wake” na siyo “utawala wake”

Baada ya kupata Uhuru toka wakoloni tunaongozana na siyo kutawalana.

Ndiyo maana tunafanya uchaguzi wa kuchagua viongozi tuwapendao.

Mtawala hachaguliwi.
 
Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka.

Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize.

Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!

Hahahaha acha kuwadanganya watu lile gari lipo na lilikuwepo na lazima atembee nalo! Weka hapa picha kama uliuona msafara! Wewe ni muongo
 
Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka.

Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize.

Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
Ila nimeshughudia live anavyoshuka kwenye ndege nimemwona mlinzi mmoja na lisilaha la hatari na zile gwanda za usa
 
Ila kiukweli lile limgari la machumachuma pamoja na lile njemba jeusi lenye sura pana lisilocheka walikua wanapendezesha sana protokali.
Kama vp Mh. Rais Mama Samia asimuche yule bwana na lile limgari
 
1617457599810.png
 
Yote yapo na yalikuwepo kwenye msafara
 
Yale machuma Chuma hayakusaidia chochote Bora hata kuamini mgomba WA afande Chele lakini sio Yale machuma.
 
Ila kiukweli lile limgari la machumachuma pamoja na lile njemba jeusi lenye sura pana lisilocheka walikua wanapendezesha sana protokali.
Kama vp Mh. Rais Mama Samia asimuche yule bwana na lile limgari
Hahahaha linaitwa Jammer... Lina vuruga mifumo yote ya mawasiliano ( frequency jammer ) likiwepo lile hakuna kupiga wala kupokea cm labda simu zao tu ndio zitaweza maana wame allow hizo tu kwenye system yao .....linazuia attack inayotokana na masafa ya simu au mtandao ....
 
Dr Mwigullu Nchemba atazuru hapo Ufipa jumatano ijayo!

Mtunza hazina weka kumbukumbu vizuri!
 
Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka.

Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize.

Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
Mkuu mbona ule Mgari upo?

Kafuatilie Msafara wake ulivyokuwa unatoka viwanja vya Dodoma kwenye shughuli ya kumuaga Hayati Magu Kitaifa.
 
Back
Top Bottom