Rais Samia Suluhu naona katua Dar leo. Tetesi zinasema atafanya ziara kwenye taasisi kubwa mbili hivi karibuni

Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka.

Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize.

Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
Ngoja madaraja na mito yaanze kuitwa majina yake, atapoa tu hakuna namna.
 
Hahahaha linaitwa Jammer... Lina vuruga mifumo yote ya mawasiliano ( frequency jammer ) likiwepo lile hakuna kupiga wala kupokea cm labda simu zao tu ndio zitaweza maana wame allow hizo tu kwenye system yao .....linazuia attack inayotokana na masafa ya simu au mtandao ....
Mlinzi wa kweli Ni Mungu.
Bila ulinzi wa Mungu hata utembee na jammer tatu, helikota mbili juu, walinzi 70 Ni bure tu.
Mfano mzuri tunao
 
Kila La Heri
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kwenye Majukumu Yako
 
Mlinzi wa kweli Ni Mungu.
Bila ulinzi wa Mungu hata utembee na jammer tatu, helikota mbili juu, walinzi 70 Ni bure tu.
Mfano mzuri tunao
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😁😂😅
 
Mlinzi wa kweli Ni Mungu.
Bila ulinzi wa Mungu hata utembee na jammer tatu, helikota mbili juu, walinzi 70 Ni bure tu.
Mfano mzuri tunao

Kuna wa almaruhum sheikh maarufu usionekana ukipigiwa chapuo kipindi flani huko nyuma.
 
Hahahaha linaitwa Jammer... Lina vuruga mifumo yote ya mawasiliano ( frequency jammer ) likiwepo lile hakuna kupiga wala kupokea cm labda simu zao tu ndio zitaweza maana wame allow hizo tu kwenye system yao .....linazuia attack inayotokana na masafa ya simu au mtandao ....
Ina maana mliopo karibu mitandao haifanyi kazi?
Hii inavuruga umbali gani?
Ni ya simu tuu au hadi radio signal?
 
Kamanda umekuwa afisa habari wa CCM siku hizi safi sana
Muda mfupi uliopita Rais ametua Dar na inasemekana ana lake jambo baada ya mapumziko ya Pasaka.

Zipo taasisi kubwa mbili za umma zitapigwa suprize.

Yani kapita shaaaa ila hakuna ule mgari uliojazwa machumachuma yanayoangalia kwa juu. Sijui ulibaki wapi!
 
Huyu mtu nae,kuna kazi nyingi sana za kufanya kama rais zaidi ya tumbua weka toa bandika, bandua .
Sie tupo hapa ni muda tu.
 
Hakuna lolote ulikuwa mgari wa show off. Yalikuwa matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi. Mlidanganywa kwa maneno na vitendo 'wanyonge-huu usemi uliwatoa ufahamu kabisaaaa mkaamini ninyi wanyonge. Maneno huumba
 
Back
Top Bottom