Rais Samia Suluhu naona katua Dar leo. Tetesi zinasema atafanya ziara kwenye taasisi kubwa mbili hivi karibuni

Ngoja madaraja na mito yaanze kuitwa majina yake, atapoa tu hakuna namna.
 
Mlinzi wa kweli Ni Mungu.
Bila ulinzi wa Mungu hata utembee na jammer tatu, helikota mbili juu, walinzi 70 Ni bure tu.
Mfano mzuri tunao
 
Kila La Heri
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kwenye Majukumu Yako
 
Mlinzi wa kweli Ni Mungu.
Bila ulinzi wa Mungu hata utembee na jammer tatu, helikota mbili juu, walinzi 70 Ni bure tu.
Mfano mzuri tunao
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😁😂😅
 
Mlinzi wa kweli Ni Mungu.
Bila ulinzi wa Mungu hata utembee na jammer tatu, helikota mbili juu, walinzi 70 Ni bure tu.
Mfano mzuri tunao

Kuna wa almaruhum sheikh maarufu usionekana ukipigiwa chapuo kipindi flani huko nyuma.
 
Ina maana mliopo karibu mitandao haifanyi kazi?
Hii inavuruga umbali gani?
Ni ya simu tuu au hadi radio signal?
 
Kamanda umekuwa afisa habari wa CCM siku hizi safi sana
 
Hajui lolote yule saiv,Taaarifa hazivuji tena saiv.
Nafikiri Mama keshawajua😅😅😅anakula za chembee...burudani sana.kwahiyo ile nchi ya tweeter imepoa😅😅😅hatari sana
 
Huyu mtu nae,kuna kazi nyingi sana za kufanya kama rais zaidi ya tumbua weka toa bandika, bandua .
Sie tupo hapa ni muda tu.
 
Hakuna lolote ulikuwa mgari wa show off. Yalikuwa matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi. Mlidanganywa kwa maneno na vitendo 'wanyonge-huu usemi uliwatoa ufahamu kabisaaaa mkaamini ninyi wanyonge. Maneno huumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…