Rais Samia Suluhu ni chaguo la Mungu

Rais Samia Suluhu ni chaguo la Mungu

Umeshaambiwa no swala mda tu na siyo la kudumu. Mbona unawahi sana kwani unawahi wapi
Tuna Zaidi ya miaka 15 tatizo la umeme ni hili hili, au muda mfupi kwako ww ni upi?
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na
Mungu hawezi kuchagua kiongozi wa hovyo kiasi hicho. Labda chagua la shetani
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na
Mungu yupi!
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako,

View attachment 2755961
Uliongea na MUNGU lini akakwambia SAMIA ni chaguo la watanzania? Angalia sana Utalaaniwa kwa kumlisha MUNGU maneno na udhaifu wako.Nakusihi usimtaje MUNGU ww msifu tu SAMIA wako na usiseme ni chaguo la MUNGU.
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na kushangaza matarajio ya wengi.

Zipo sababu 5 kubwa za kusema Samia Suluhu ni chaguo la Mungu.

1. Mikutano Yake
Rais Samia Suluhu afanyapo ziara zake makundi makubwa ya watu kuliko kawaida kufika kwenye mikutano yake. Hakuna nguvu ya zaidi kama kutumia Helkopta, bali yeye kuna ule upendo wa asili watu wako nao juu ya Rais Samia Suluhu.

2. Utulivu na Hekima
Soma Historia za dini zote, utakuta kwamba watu wa Mungu huwa watulivu kwenye matendo yao na mawazo yao, hiki ni kipawa ambacho kiko dhahiri hakihitaji kuongelewa sana, kila mtu ajua kwamba Rais Samia ni mtulivu. Mzee wangu Kikwete aliwahi kusadiki hili pia kwamba, moja ya kigezo kilichoifanya kamati kuu kumpitisha Samia Suluhu kwa Mgombea mwenza na JPM ni utulivu wake, ni sifa ya kwanza ya kiongozi.

3. Kusamehe na Kusahau
Rais Samia Suluhu si mtu wa vinyongo wala visasi, kwenye nafsi safi kama yake mithili ya theluji hakuna nafasi ya kuhifadhi chuki wa uadui ndani yake. Alipoingia madarakani, Magazeti na vyombo vya habari vyote vilivyofungwa kiutata na mtangulizi wake alivifungulia, wakimbizi wote wa kisiasa wakarudi nyumbani bila masharti, wengine wakatolewa gerezani na wengine kulipwa malimbikizo ya fedha zao. Mnataka nini?

4. Kutanguliza maslahi ya watu mbele
Maslahi ya watu wake ni muhimu zaidi ya yake. Amedhihirisha hilo mara nyingi sana. Kulikuwa na uhaba wa madarasa 15,000, yeye akajenga 23,000 ndani ya miaka 2, amejenga ICU 180, EMD 78, majengo ya Mama na Matano katika hospitali za kanda na rufaa 5 nchi nzima. X-Ray 199, nchi haikuwa kuwa na huduma za kupasua ubongo na kifua bila kukifungua, ila Samia Suluhu ameleta hizi zote hapa nchini watanzania sasa hawana haja ya kwenda nje tena. Mpewe nini?

5. Kudumisha na Majirani
Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako, Rais Samia Suluhu kupitia diplomasia ya uchumi anayaisha maneno haya kikamilifu kabisa. Wakati wa mtangulizi wake, nchi ilikuwa na matatizo na majirani zetu mfano Kenya na mataifa mengine ya nje ya Afrika. Lakini tazama Samia Suluhu alichokifanya, yeye amejenga daraja kuunganisha watu badala ya kubomoa barabara. Hivi sasa Tanzania inanufaika zaidi kiuchumi na uhusiano mwema na mataifa mengine ya njema.

View attachment 2755961
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo.
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

NB: Kama utaumia kwa andiko hili, pole ni advance.

View attachment 2755931
View attachment 2755933
View attachment 2755934
Mzigo kwa shingo.,
 
Kasoro kubwa ni kukaa kimya wakati mambo yanaharibika. Bandari kupewa waarabu tena moja kwa moja bila kikomo, ni doa chafu kwake na kamwe hawezi kutakasika. Mzee Mwinyi yeye aliiuza Loliondo hadi leo anajuta kufanya vile. Lakini ipo siku Loliondo itaeejea tena Tanganyika. Hebu jiulize kwanini kusitokee mauzo ya visiwa vya Zanzibar kwa wajomba zao waarabu?
 
Ni chaguo la Shetani
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

NB: Kama utaumia kwa andiko hili, pole ni advance.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na kushangaza matarajio ya wengi.

Zipo sababu 5 kubwa za kusema Samia Suluhu ni chaguo la Mungu.

1. Mikutano Yake
Rais Samia Suluhu afanyapo ziara zake makundi makubwa ya watu kuliko kawaida kufika kwenye mikutano yake. Hakuna nguvu ya zaidi kama kutumia Helkopta, bali yeye kuna ule upendo wa asili watu wako nao juu ya Rais Samia Suluhu.

2. Utulivu na Hekima
Soma Historia za dini zote, utakuta kwamba watu wa Mungu huwa watulivu kwenye matendo yao na mawazo yao, hiki ni kipawa ambacho kiko dhahiri hakihitaji kuongelewa sana, kila mtu ajua kwamba Rais Samia ni mtulivu. Mzee wangu Kikwete aliwahi kusadiki hili pia kwamba, moja ya kigezo kilichoifanya kamati kuu kumpitisha Samia Suluhu kwa Mgombea mwenza na JPM ni utulivu wake, ni sifa ya kwanza ya kiongozi.

3. Kusamehe na Kusahau
Rais Samia Suluhu si mtu wa vinyongo wala visasi, kwenye nafsi safi kama yake mithili ya theluji hakuna nafasi ya kuhifadhi chuki wa uadui ndani yake. Alipoingia madarakani, Magazeti na vyombo vya habari vyote vilivyofungwa kiutata na mtangulizi wake alivifungulia, wakimbizi wote wa kisiasa wakarudi nyumbani bila masharti, wengine wakatolewa gerezani na wengine kulipwa malimbikizo ya fedha zao. Mnataka nini?

4. Kutanguliza maslahi ya watu mbele
Maslahi ya watu wake ni muhimu zaidi ya yake. Amedhihirisha hilo mara nyingi sana. Kulikuwa na uhaba wa madarasa 15,000, yeye akajenga 23,000 ndani ya miaka 2, amejenga ICU 180, EMD 78, majengo ya Mama na Matano katika hospitali za kanda na rufaa 5 nchi nzima. X-Ray 199, nchi haikuwa kuwa na huduma za kupasua ubongo na kifua bila kukifungua, ila Samia Suluhu ameleta hizi zote hapa nchini watanzania sasa hawana haja ya kwenda nje tena. Mpewe nini?

5. Kudumisha na Majirani
Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako, Rais Samia Suluhu kupitia diplomasia ya uchumi anayaisha maneno haya kikamilifu kabisa. Wakati wa mtangulizi wake, nchi ilikuwa na matatizo na majirani zetu mfano Kenya na mataifa mengine ya nje ya Afrika. Lakini tazama Samia Suluhu alichokifanya, yeye amejenga daraja kuunganisha watu badala ya kubomoa barabara. Hivi sasa Tanzania inanufaika zaidi kiuchumi na uhusiano mwema na mataifa mengine ya njema.

View attachment 2755931
View attachment 2755933
View attachment 2755934
'Kutanguliza mslahi ya Watu mbele'hivi shuleni mnaendaga kusomea ujinga?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Mk--ndu wako
 
Maana ya jina la mtoto aliyesaidiwa leo Mbozi ni Jiwe la msaada ukisoma 1Samweli 7:12 Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Eben-ezeri, akisema, Hata sasa Bwana ametusaidia.

Wakati ule Israeli wanamlilia Bwana awarudie, Wafilisti walipata taarifa wakakusanyika pamoja ili wawaangamize, Israeli walivyoona hivyo wakaogopa sana, wakamsihi Samweli awalilie kwa Bwana ili wasaidiwe kwasababu wanakwenda kuangamia. Na Mungu akasikia kilio chao, akawatetea, kwa kutoa ngurumo kubwa sana, zilizowadhoofisha wafilisti, hivyo wakapigwa na kuharibiwa, mpaka miji ambayo wafilisti walikuwa wameiteka ikarudishwa yote kwa Israeli

Kutokea kwa mtoto huyu umri wa miaka nane kusimama katika mkutano mkubwa kama huu na kuonekana ni Ukuu na sauti ya Mungu ilimshukia Rais Samia kuwa amtizame kijana mdogo aliyepambana kutoka nyuma kwenye makundi ya watu hadi mbele na akaonekana kupata msaada.

Rais Samia ni mpango wa Mungu. Ni zawadi kwetu.

5a7bf882-d751-49ba-bb75-da474d3c66d9.jpeg
 
Back
Top Bottom